Search results

  1. S

    Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

    Wana Chitchat habari ya mchana Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners' Asanteni karibuni sana wana chitchat.
  2. S

    Yupo wapi huyu SPARK msanii aliyetamba na nyimbo yake ya USINIACHE?

    Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je, anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE?
  3. S

    Mademu wenye misambwanda njooni, kwa nini mnatutesa

    Hi wana chit chat Leo nimekuja kueleza maoni yangu juu ya hawa wadada wenye mizogo,makalio aka misambwanda mmekuwa mkituumiza sana tukiwa sehemu mbali mbali, mara mpite mnatingisha, mara mpite mmevaa tight lainii, mara muonyeshe shanga zenu kiunoni, mara vitovu, ilimradi tu mtuumize sisi vijana...
  4. S

    Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi. Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya. Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
  5. S

    Uko wapi siku hizi?; Swali linalotukera vijana ambao hatujafanikiwa na tusio na kazi!

    Habari wana bodi, Moja kwa moja niende kwenye hoja, siku hizi kumekuwa na tabia ya vijana waliosoma pamoja au kukua pamoja zamani, wakikutana mmoja ataanza kumuuliza mwenzie (Mara nyingi ni Yule aliyefanikiwa) kwamba Uko wapi siku hizi? Hili swali huwa Mara nyingi linaudhi sana endapo...
  6. S

    Upepo mkali jijini Dar usiku wa kuamkia Machi 1, 2020

    Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki! Upepo ni mkali.
  7. S

    Wana JF, Karibuni China bar tegeta tule bata

    HABARI za muda huu wana JF Leo niko hapa China bar tegeta nakula bata, Kama Uko karibu Njoo tujumuike na kula bata, I. e Kunywa bia, kucheze music na totoz zilizopo hapa China bar, Maana naona warembo wazuri balaa! Karibuni wana JF tule bata
  8. S

    Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

    Wana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana Africa na duniani kwa ujumla mfano Wizkid, Patoranking, Chidinma, Yemi Alade, Femi Kuti, Davido, Mr...
  9. S

    JF ndani ya daladala: Uko wapi na unatoka wapi kwenda wapi?

    Habari za asubuhi wana jf, Kama utaratibu wetu wa utafutaji na kwenda kwenye mishe mishe (,kazi,shuleni,sokoni nk ) Tuungane kuelezana Kama unasafiri kwenda mishe mishe,Mimi binafsi Niko kwenye daladala natoka mabwepande kuelekea makumbusho kwenye kuangalia vibarua. Wewe uko wapi ? Unaenda wapi !
  10. S

    Je ni kweli ukiajiriwa uwezekano wa kuwa tajiri ni mdogo sana au haiwezekani kabisa?

    Habari za asubuhi wanabodi, Kumekuwa na mitazamo/ dhana maeneo mengi sana duniani kwamba ili uwe tajiri ni lazima uwe nje ya mfumo huu wa kuajiriwa bali unatakiwa ujiajiri, na wanasema kwamba 'hautakuwa tajiri ' kabisa. Je, kuna mfano wa waajiriwa ni matajiri? Kama wapo tuwataje Karibuni kwenye...
  11. S

    Kuna siri gani makabila haya kupenda kuishi maeneo haya ya Dar es salaam

    Wana chitchat, kumekuwa na Kama tabia fulani hivi ya makabila fulani kupenda kuishi maeneo fulani kwa wingi hapa Dar mfano ni Kimara, Kiluvya, Ubungo wengi wao ni 'Wachagga'. Kitunda wengi wao ni 'Wakurya' ama watu wa Musoma, Mbagara kuna watu wengi wa 'Kusini' , Bunju, Tegeta, Boko...
  12. S

    Mwana JF maarufu ni yupi?

    Wana chitchat, karibuni kwenye shindano la kumpata Mwana jf ambaye ni maarufu, napendekeza majina haya yaingie kwenye mzunguko wa kwanza ambayo, baadae yatapigiwa kura 1.pascal mayalla 2.Mshana jr 3.BAK 4.YEHODAYA 5.BARBAROSA 6.SHUNIE 7.MISS NATAFUTA 8.EVELYNE SALT 9.JOSE EVEREST 10.LARA 1...
  13. S

    Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

    Kwangu Mimi Hao ndiyo wadada ninaowakubali humu ww je?
  14. S

    Wana JamiiForums tunaoishi Mabwepande Karibuni tujadili mji wetu

    Wana bodi, hususan tunaokaa huku mabwepande Karibuni tujadiliane Kuhusu maendeleo ya mji wetu huu ambao unakuwa vizuri tu, tukiangalia Na mwaka ulioanzishwa mji huu Karibuni tujadili, changamoto, mafanikio nk
Back
Top Bottom