Yupo wapi huyu SPARK msanii aliyetamba na nyimbo yake ya USINIACHE?

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
2,309
2,246
Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je, anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE?
 
Anapiga sho machaka ya kenge mwaka juz nilikuwa job chaka moja la adabu nimetoka camp kwenda kweny ka senta uchwara uko bush ghafla nakuta yupo juu ya fuso wanatangaza atakuwa na show kweny baa sikucheka nilichukia kuona kipaji kama kile kinapotea kizembe nikajiuliza hivi hawa wasanii wa 2000 mpak 2010 walishindwa vip Ku maintain kweny game wakati wanavipaji vikubwa kushinda hawa wa siku hizi
 
Nenda Manzese mtaa wa buza kwa mtogole kata kulia halafu kushoto kwa mbele utaona nyumba inakuangalia. Ingia humo utapata taarifa zake zote.
 
Anapiga sho machaka ya kenge mwaka juz nilikuwa job chaka moja la adabu nimetoka camp kwenda kweny ka senta uchwara uko bush ghafla nakuta yupo juu ya fuso wanatangaza atakuwa na show kweny baa sikucheka nilichukia kuona kipaji kama kile kinapotea kizembe nikajiuliza hivi hawa wasanii wa 2000 mpak 2010 walishindwa vip Ku maintain kweny game wakati wanavipaji vikubwa kushinda hawa wa siku hizi
 
Anapiga sho machaka ya kenge mwaka juz nilikuwa job chaka moja la adabu nimetoka camp kwenda kweny ka senta uchwara uko bush ghafla nakuta yupo juu ya fuso wanatangaza atakuwa na show kweny baa sikucheka nilichukia kuona kipaji kama kile kinapotea kizembe nikajiuliza hivi hawa wasanii wa 2000 mpak 2010 walishindwa vip Ku maintain kweny game wakati wanavipaji vikubwa kushinda hawa wa siku hizi

"Anapiga shoo machaka ya kenge" 😂😂 kweli wahuni wamemchoka dah
 
Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE

Andika wimbo wake na siyo nyimbo yake
 
Habari nataka kujua huyu msanii SPARK yupo wapi? Je anaendelea na muziki au ameacha? Nakumbuka alitamba sana na Nyimbo yake ya USINIACHE
Alilia sana hata akiimba nyimbo ya kuruka analia basi tukachoka tukampotezea
 
Back
Top Bottom