Wana JamiiForums tunaoishi Mabwepande Karibuni tujadili mji wetu

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
2,309
2,246
Wana bodi, hususan tunaokaa huku mabwepande Karibuni tujadiliane Kuhusu maendeleo ya mji wetu huu ambao unakuwa vizuri tu, tukiangalia Na mwaka ulioanzishwa mji huu
Karibuni tujadili, changamoto, mafanikio nk
 
Ushawahi pita njia ya kutokea Mbopo? Ni karibu kuliko ile ya kuingilia Bunju hasa kama unaenda maeneo ya Mbezi au Ubungo.
 
Mkuu nitafika hapo soon vipi unakaa mtaa wa abdalah zombi au pande za ulimboka street?
 
Wana bodi, hususan tunaokaa huku mabwepande Karibuni tujadiliane Kuhusu maendeleo ya mji wetu huu ambao unakuwa vizuri tu, tukiangalia Na mwaka ulioanzishwa mji huu
Karibuni tujadili, changamoto, mafanikio nk
Mabwepande iko mkoa gani mkuu?
 
Nakumbuka mwaka 2011 tulikuta kuna maiti mbili katikati ya hilo pori polisi wakachukua..... ilisemekana ni vijana walioporwa pikipiki/bajaj..... HUKO MAHALI PALINITISHA SANA KWA MAUAJI YALE YA KINYAMA.
 
Back
Top Bottom