Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
2,309
2,246
Wana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana Africa na duniani kwa ujumla mfano Wizkid, Patoranking, Chidinma, Yemi Alade, Femi Kuti, Davido, Mr Favour, Falz, Tiwa Savage, Don Jazzy, P Square

Kipengele cha pili ambacho Nigeria wame dominate ni Kwenye fasihi na sanaa itakuwa movies za Nigeria zinatamba Afrika na duniani kote kutokana na waigizaji mahiri na wenye passion na moyo na kazi yao mfano hawa vijana Kama kina Aki na ukwa etc

Kwenye uwanja wa Fasihi kwa Hapa Afrika, Nigeria imebeba wanafasihi wakubwa na mahiri mfano Huyu Wole Soyinka ambaye ni Mshindi wa tuzo ya amani ya 'Nobel Prize ' kwenye fasihi mwaka 1986.

Mwingine ni huyu Chinua Achebe Wengi wetu tumemsoma kwenye 'Things Fall apart ' ni mwanafasihi aliyetukuka na kuheshimika hapa barani Africa,

Kwenye kipengele cha michezo hususan mpira Nigeria wenyewe mnaona 'super eagles ' wakiingia Mara kadhaa kwenye kombe la dunia,

Kipengele kingine ni mabilionea Nigeria kuna mataycoon maarufu sana mfano tajiri Aliko Dangote, Mike Adenuga, Alakija

Kipengele cha idadi ya watu Nigeria wanaongoza hapa Afrika wapo milioni 200+
Kipengele kingine cha Uchumi Nigeria wanawongoza hapa Afrika
Kipengele kingine japo sio cha muhimu ni kwamba makabila ya Nigeria ni makubwa sana yaani yana idadi kubwa Sana ya watu mfano Wahausa, Yoruba etc

Hebu tujadili why Nigeria hawa wame dominate mambo mengi sana kiasi cha kwamba kuonekana Hawa wanaigeria kuonekana wao Kama hawapo Africa vile wao ni level ya mataifa makubwa duniani!

Nb Nigeria ni moja ya nchi ambazo Hapa Africa wamepinduana Sana /marais wamepinduliwa sana!
 
Elimu ni moja ya kitu ama jambo ambalo nafiri limefiwakisha hapo walipo, kwa maana watu wengi wamesoma, wanavyuo Vikuu vya kutosha na hivyo kusabisha exposure kubwa kwa wanaichi wao. Utajiri wa mafuta pia umechangia kuzalisha matajiri wengi. Idadi kubwa yao inasaidia kutanua masoko yao biashara na kuvutia nchi nyingi kuwekeza kwao. Kwa namna moja hizo sababu zimeipaisha Nigeria.
 
Nigerians hawakuanza kuiona dunia leo
Ukiangalia Osibisa ilianzishwa mwaka 1969 UK na ni kundi mchanganyiko wa Caribbean, Ghana na Nigeria
Hawa jamaa waliingia mziki miaka ya nyuma sana na lugha imewainua sana tofauti na sisi
Pia ukienda upande wa elimu wana vyuo vya miziki sio mtu anaibuka tu na kuimba
Elimu na pesa wameiona zamani sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana Africa na duniani kwa ujumla mfano Wizkid, patoranking, chidinma, yemi alade, femi kuti, davido, Mr favour, falz, tiwa savage, don Jazzy, p square, kipengele cha pili ambacho Nigeria wame dominate ni Kwenye fasihi na sanaa itakuwa movies za Nigeria zinatamba Africa na duniani kote kutokana na waigizaji mahiri na wenye passion na moyo na kazi yao mfano Hawa vijana Kama kina Aki na ukwa etc, kwenye uwanda wa Fasihi kwa Hapa Africa Nigeria imebeba wana fasihi wakubwa na mahiri mfano Huyu Wole Soyinka ambaye ni Mshindi wa tuzo ya amani ya 'Nobel Prize ' kwenye fasihi mwaka 1986, Mwingine ni huyu Chinua Achebe Wengi wetu tumemsoma kwenye 'Things Fall apart ' ni mwana fasihi aliyetukuka na kuheshimika
hapa barani Africa,

Kwenye kipengele cha michezo hususan mpira Nigeria wenyewe mnaona 'super eagles ' wakiingia Mara kadhaa kwenye kombe la dunia,
Kipengele kingine ni mabilionea Nigeria kuna mataycoon maarufu sana mfano tajiri Aliko dangote, Mike Adenuga, Alakija

Kipengele cha idadi ya watu Nigeria wanaongoza hapa Africa wapo milioni 200+
Kipengele kingine cha Uchumi nigeria wanawongoza hapa Africa
Kipengele kingine japo sio cha muhimu ni kwamba makabila ya Nigeria ni makubwa sana yaani yana idadi kubwa Sana ya watu mfano Wahausa, Yoruba etc

Hebu tujadili why Nigeria hawa wame dominate mambo mengi sana kiasi cha kwamba kuonekana Hawa wanaigeria kuonekana wao Kama hawapo Africa vile wao ni level ya mataifa makubwa duniani!

Nb Nigeria ni moja ya nchi ambazo Hapa Africa wamepinduana Sana /marais wamepinduliwa sana!
Raia wao sio waoga kama wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ni moja ya kitu ama jambo ambalo nafiri limefiwakisha hapo walipo, kwa maana watu wengi wamesoma, wanavyuo Vikuu vya kutosha na hivyo kusabisha exposure kubwa kwa wanaichi wao. Utajiri wa mafuta pia umechangia kuzalisha matajiri wengi. Idadi kubwa yao inasaidia kutanua masoko yao biashara na kuvutia nchi nyingi kuwekeza kwao. Kwa namna moja hizo sababu zimeipaisha Nigeria.
Elimu ni muhimu kumbe, hata Huyu chidinma ana degree ya sosholojia
 
Kwani Tanzania ndio Nchi peke yake iliyozidiwa na Nigeria? Mleta mada ameuliza kwanini ime dominate wewe unasema Raia wake sio waoga!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kwa nini ime dominate kiasi cha kwamba majirani zao ndani ya ECOWAS kina Kameruni, Ivory Coast, etc wanaonekana si kitu mbele ya Nigeria na mataifa mengine ya Africa
 
Mods Naomba Muupeleke Huu uzi kule jukwaa la habari na hoja mchanganyiko
 
nchi zote zenye population kubwa ni matajiri na wana kila aina ya kipaji....MF USA, China,India, Russia etc..Nigeria kwa population yake..jumlisha E.Africa na southern Africa yote ndo upate idadi ya wanaijeria
Kwa Hapa Africa Ethiopia Ndiyo inafuata kwa idadi ya watu wengi
 
nchi zote zenye population kubwa ni matajiri na wana kila aina ya kipaji....MF USA, China,India, Russia etc..Nigeria kwa population yake..jumlisha E.Africa na southern Africa yote ndo upate idadi ya wanaijeria

Singapore, Brunei, Kuwait, Luxembourg na Iceland ni nchi zenye watu wachache sana na ni matajiri sana
Wingi wa watu sio utajiri mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.

Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.

P
 
Jicho Langu, Nijeria Ni Nchi Pekee Africa Inayotukuza Utamaduni Wao Kwa Kulinda Mila Na Desturi Zao....
Wanaamini Katk Wao Ndo Maana Hawajaathiriwa Sana Na Tamaduni Za Kimagharibi Tofaut Na Nchi Zngne Baada Yakuja Umagharibi Tumezificha Mila Zetu Na Kuhisi Ni Mambo Yakizamani....
Mfano Sisi Wabongo Hatuna Uhalisia Wowote Katka Kila Tulifanyalo Yaani Kila Kitu Ni Tunakopi Kwa Wazungu, Tujifunze Kwa Nijeria Maybe Twaweza Toboa
 
Back
Top Bottom