Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,824
2,000
Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.

Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi mahakama kuu ya Tanzania (masjala kuu Dar), lengo hasa ni kumshitaki waziri wa miundombinu kwa kukataa kufunga viwanja vya ndege ,bandari (except bandari ya dar) ili kuzuia wageni ambao kimsingi ndiyo wanaosambaza ugonjwa huu wa corona nchini,kwa maana kwamba kitendo hicho kimechagiza kusambaa kwa ugonjwa huo, kwa upande wa wizara ya afya hii imeshindwa kusimamia kidete suala hilo la kuhakikisha wizara ya miundombinu haikiuki utaratibu we kuzuia watu wasiingie wala kutoka hapa tanzañia,
Mwanasheria mkuu anashtakiwa kwa sababu ndiyo mtetezi wa serikali pale inaposhitakiwa.

Amri ninazotaka kuziomba mahakamani ni hizi

1.mahakama kuu ya Tanzania itamke kwanza kitendo cha waziri/wizara ya miundombinu kukaidi kufunga viwanja vya ndege, bandari(except ya dar),mipaka nk kinahatarisha Afya na usalama wa wananchi wa Tanzania hivyo kitendo hicho ni batili

2.mahakama kuu iiamrishe wizara ya miundombinu kufunga mipaka,viwanja vya ndege, bandari kwa manufaa ya umma 'public interest'

3.mahakama kuu iseme kwamba kwenye majanga kama haya ya corona principle itakayo tumika ni 'the best interest of the citizen of the United Republic of Tanzania' yaani 'our welfare first' no matter what, kwa kiswahili ni kwamba kwa tatizo lolote lile tutaangalia maslahi yetu watanzania, na ustawi wetu na ustawi unajumuisha 'Afya yetu'

Naomba kuwasilisha.

Saveya (S)
Land surveyor.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,555
2,000
Mnaonaje wakuu

Mkuu Surveyor,
Una hoja ya msingi Sana tatizo Ni Utawala tulionao.
Kenya walifungua kesi Mahakama Kuu kama hiyo baada ya Wachina 253 kuingia Kenya toka China na kuruhusiwa kuingia mjini pasi na kupima wala Karantini.
Mahakama iliwaamuru Waziri wa Afya na Chief Internal Affairs kuwasaka wageni popote walipo wakamatwe, wapimwe na wawe kwenye quarantine!!!
Leo Kenya ndo inaongoza kwa maambukizi ya Covid-19 kwa East Africa..! UZEMBE una ligharimu Taifa la Kenya. You've got it coming soon..,...!
 
MFUKO WA RAMBO

Senior Member
May 30, 2017
164
225

Fungua kesi gharama zote juu yangu hasa za nauli
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,016

uko sawa mkuu tena naona umechelewa WAHI HARAKA SANA kwashtaki haswa UMY MWALIMnionavyo anashindwa kufanya maamuzi hayo kwakuwa tayari anayo idadi kubwa yaa wwathirika mfukoni mwake ambao kila baada ya siku 2 au 3 anatuahadaa kwa kutangaza amepatikana mgonjwa mpya. hii ndio sababu ya kushindwa kufungia viwanja vya ndege ili apate sababu ya kusingizia ni wageni wameingia na virusi kumbe tayari anayo hesabu yake ya waathirika ambao wanajua wapi wamewaficha.
anafikiria akifungia viwanja vya ndege hii hesabu mpya ataitolea wapi?
 
Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,824
2,000
Mkuu Surveyor,
Una hoja ya msingi Sana tatizo Ni Utawala tulionao.
Kenya walifungua kesi Mahakama Kuu kama hiyo baada ya Wachina 253 kuingia Kenya toka China na kuruhusiwa kuingia mjini pasi na kupima wala Karantini.
Mahakama iliwaamuru Waziri wa Afya na Chief Internal Affairs kuwasaka wageni popote walipo wakamatwe, wapimwe na wawe kwenye quarantine!!!
Leo Kenya ndo inaongoza kwa maambukizi ya Covid-19 kwa East Africa..! UZEMBE una ligharimu Taifa la Kenya. You've got it coming soon..,...!
Du!
Hii sikuifuatilia vizuri
 
Saveya

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,824
2,000
uko sawa mkuu tena naona umechelewa WAHI HARAKA SANA kwashtaki haswa UMY MWALIMnionavyo anashindwa kufanya maamuzi hayo kwakuwa tayari anayo idadi kubwa yaa wwathirika mfukoni mwake ambao kila baada ya siku 2 au 3 anatuahadaa kwa kutangaza amepatikana mgonjwa mpya. hii ndio sababu ya kushindwa kufungia viwanja vya ndege ili apate sababu ya kusingizia ni wageni wameingia na virusi kumbe tayari anayo hesabu yake ya waathirika ambao wanajua wapi wamewaficha.
anafikiria akifungia viwanja vya ndege hii hesabu mpya ataitolea wapi?
Kumbee!
Nilikuwa sijui.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom