Search results

  1. Advocate_Silayo

    Mitandao ya Kijamii na uwajibikaji wa Raia wa kidigitali

    Tangu kuanzishwa kwa mitandao ya kijamii imekuwa ni njia rahisi na nyepesi ya kuwafanya watu kukutana kwa uharaka hata kama wapo katika umbali mkubwa sana, leo hii mtu anaeishi Tanzania anaweza kuongea na kuonana kwa macho na mtu anaeishi katika nchi nyingine nyingi Duniani. Urahisi huu umeletwa...
  2. Advocate_Silayo

    The Influence of Social Media on Global Connectivity and Personal Accountability

    Since the inception of social media, it has become an easy and convenient way for people to connect quickly, even if they are far apart. Today, someone living in Tanzania can speak and see someone living in many other countries around the world. This convenience has been brought about by the use...
  3. Advocate_Silayo

    Fahamu kuhusu Ushuru wa Taka

    Tayari kipindi kinachohusiana na 𝗨𝘀𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗸𝗮 kutoka #SilayoDigitals, kimesharuka hewani. Karibu sana
  4. Advocate_Silayo

    SoC01 Ufafanuzi kuhusiana na HAKI ZA BINADAMU na manufaa yake katika ustawi waTaifa letu la Tanzania

    Haki za binadamu ni swala ambalo haliwezi kukwepwa na binadamu yeyote yule Duniani. Ni haki ambazo kimsingi zina manufaa makubwa katika ustawi wa jamii nzima. Katika nchi yetu ya Tanzania haki hizi za binadamu zimeorodheshwa katika Katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977...
  5. Advocate_Silayo

    Nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya

    Binafsi kuhusu #KatibaMpya, nataka ije leo kesho ila ambacho SITAKI ni kuanza upya kwa mchakato yaani tuanze tena kuchukua maoni ya wananchi na kutengeneza rasimu nyingine,nachotaka ni zile Rasimu za Jaji Warioba 1 & 2 tu, zifanyiwe kazi tupate Katiba Mpya nzuri na wasiirejee ile Katiba...
  6. Advocate_Silayo

    To all Companies & NGO

    To all Companies na NGO..... Mnapotoa tangazo la kazi na kisha watu wakafanya maombi katika hizo kampuni ama taasisi zenu bhasi mkumbuke kuwa mna wajibu wa kuwapa feedback kwamba maombi yako hayakufanikiwa, msipende kuwaacha watu wakiwa kwenye sintofahamu juu ya maombi yao.
  7. Advocate_Silayo

    Katiba Mpya ya Tanzania itasaidia namna Viongozi wanatakiwa kufuata Sheria

    Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
  8. Advocate_Silayo

    Holla

    It has been a while not in here but am grateful am back with full energy to discuss issues around here
  9. Advocate_Silayo

    Thamani yako kabla ya kupata nafasi

    Kama huwezi kuisaidia jamii yako kwasasa wakati huna nyadhifa yoyote ile kisiasa unangojea uwe mwanasiasa (Mbunge) ndio uwasaidie wewe ni muongo wa kiwango cha lami na hupaswi kupata hata kura 1, na ndio watu wa aina hii wakishapata huo Ubunge ukiwauliza vipi wanasingizia mfumo
  10. Advocate_Silayo

    Ubadilishwaji wa hatimiliki za zawadi

    Just a reminder Kwa wale mnaofunga ndoa na mkabahatika siku ile ya harusi yenu (sherehe) ukumbini kama mtapewa zawadi ya Kiwanja au Nyumba na mtu yoyote yule, tafadhalini sana kumbukeni kuchukua Hati ya kiwanja na muibadilishe jina kutoka la mmiliki aliewapa kuja kwenu la sivyo siku ikatokea...
  11. Advocate_Silayo

    Usalama wa mvuka Barabara

    Wazazi tujiandae kisaikolojia kuhusu watoto wetu namna watakavyoweza kuvuka barabara ya Morogoro ambayo itakuwa na njia 4 kwenda Morogoro na kwenda katikati mji, kuna mahali nimeona wameziachia Mungu wangu ni parefu mno kwa kuvuka na mguu na hakuna pa kusimama[emoji2363]
  12. Advocate_Silayo

    #JusticeForZitto #JusticeForBungara

    Wabunge wetu hawana umoja kwenye kupigania "haki na usawa" katika Demokrasia,wapo radhi waone mwenzao anapigwa risasi na kufa halafu kesho yake watoe mamilioni ya fedha na kuandika wasifu mzuuri msibani,ila kutetea mwenzao anapofanyiwa ubaya wao hilo hawana. Tumejitengenezea siasa za chuki na...
  13. Advocate_Silayo

    People & Life

    Ukishakuwa na 20+ years unapaswa kuwa na salio la kupiga kokote pale hata iwe SafariCom, yaani excuse ya sina dakika za kukupigia ni utoto sana bhasi tu, watu wanajiendekeza.
  14. Advocate_Silayo

    Vitendo vya kibabe na kionevu dhidi ya Vyama vya Upinzani

    Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea[emoji848]
  15. Advocate_Silayo

    People & life

    Sawa unapata pesa kadiri ya unavyojituma na zingine unazipata hata kwa kutozihangaikia sana ilimradi ni za kwako hakuna anaekupangia namna ya kuzitumia,lakini usisahau kubakisha mbegu maana ya kesho huyajui bado.
  16. Advocate_Silayo

    Rushwa Barabarani

    Kumekuwa na tabia ya Askari wa Usalama Barabarani kusimamisha mabasi ya abiria maeneo ya Kibamba kwa Mangi pamoja na eneo la Magari Saba, Askari hao mara nyingi wamekuwa wakipokea pesa kuanzia shilingi 2000/= kutoka kwenye mabasi hayo. Kuna nyakati ni kweli magari huwa na makosa na kuna nyakati...
  17. Advocate_Silayo

    Kosa la Baba wa Taifa

    Kitu pekee Hayati J.K.Nyerere alichokosea kukiweka sawa kabla hajatoka madarakani ni kuicha Katiba ya CCM ikiwa bado inatamka kuwa "Rais wa JMT kwa tiketi ya CCM ndie atakaekuwa Mwenyekiti wa CCM" maana mpaka kesho chama hakina nguvu ya kumhoji Rais au kumuonya pale anapokosea.
  18. Advocate_Silayo

    Jitahidi kwenye maisha uwe na mwanamke/mwanaume

    Jitahidi sana kwenye maisha yako uwe na mwanaume/mwanamke wako pale ukitaka kuwa na familia, kamwe usikubali kuambiwa kuwa peke yako unaweza hamna hicho kitu na ndio maana hata kwenye kuumbwa Mungu aliumba Adam na Hawa na sio mmoja tu atoshe kuwa sawa kwa wote.
  19. Advocate_Silayo

    People & Life

    I have never thought in my life that one day my deeds could touch the life of others until i met them in person and said so[emoji1431]
  20. Advocate_Silayo

    Dhamana ni Haki ya kila Mtu

    Kwanini tuna makosa ambayo hayastahili dhamana Tanzania?,wakati upande wa mashtaka una uwezo wa kuishawishi mahakama kwamba huyu mshtakiwa asipewe dhamana kwasababu ya jambo hili,hili na hili. Kwanini tunatesa watu kwa kimvuli hiki cha lazima kwamba mtu ni lazima awekwe ndani tena bila dhamana...
Back
Top Bottom