Vitendo vya kibabe na kionevu dhidi ya Vyama vya Upinzani

Aug 5, 2019
42
125
Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,265
2,000
kuna mtu anatamani hata uchaguzi huu usifanyike ama tufanye bila kampeni - maana mziki huu wa 2020 hatakaa asahau milele.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
4,163
2,000
Mwenyekiti wa CCM taifa hana muda mchafu wa kuamrisha wala kukemea maovu ya wapinzani
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,509
2,000
Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Asipokemea , hata kama hajaamrisha, anakuwa kabariki.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,372
2,000
Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Jiwe anajichimbia kaburi kwa kuwakandamiza wapinzani najua kwa kiburi chake hatashaurika na huo ndio upenyo kwa watz kuondokana na huyu dikteta.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
5,840
2,000
Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Jana tumemsikia akimkanya RPC wa Arusha kwamba mambo ambayo ana fanya hajamtuma. Hata kutishia kumtumbua. Kwa faida ya wasio jua mambo aliyo kuwa akifany a huyu RPC ni mambo ya siasa kupitiliza. Kama kweli Mh Rais ana nia njema na Watanzania kwanini hakumuagiza IGP amkanye mapema? Hii tabia ya one man show sio sawa. Hii ni humiliation kwa wateuzi wake.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
142,635
2,000
Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Mwili hauwezi kujidhuru
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,690

Kama si yeye Mwenyekiti anayeagiza vifanyike vitendo hivyo, ni kwanini hawatumbui hao jamaa, ambao wameshindwa kutimiza jukumu namba moja wanalotakiwa kulitekeleza, ambalo ni kulinda maisha ya raia pamoja na mali zao?

Kwa kuwa tunajua kuwa utumbuaji ni "hobby" ipo ndani ya damu ya Jiwe
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,690
2,000
Mtu anaongea hadharani kabisa asiwe na mkono hapo?
Huyo Jiwe ana mkono wake kikamilifu kabisa, katika maovu yote yanayofanywa na Jeshi letu la Polisi nchini.

Hivi hauwezi kujiuliza ni kwanini, hakuna hata mtu mmoja aliyetiwa mbaroni, katika lile tukio baya kabisa, ilitokea nchini, inakaribia miaka 3 hivi sasa, ambapo mbunge wetu shujaa, Tundu Lissu alimiminiwa risasi mfululizo, kwa nia ya kutaka kutoa maisha yake?

Huo ni ushahidi wa mazingira kuwa yeye Jiwe anahusika kwa asilimia 100 kwa tukio lile
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,690
2,000
Jana tumemsikia akimkanya RPC wa Arusha kwamba mambo ambayo ana fanya hajamtuma. Hata kutishia kumtumbua. Kwa faida ya wasio jua mambo aliyo kuwa akifany a huyu RPC ni mambo ya siasa kupitiliza. Kama kweli Mh Rais ana nia njema na Watanzania kwanini hakumuagiza IGP amkanye mapema? Hii tabia ya one man show sio sawa. Hii ni humiliation kwa wateuzi wake.
Huo ni unafiki aliofanya Jiwe kama kawaida yake.........

Kama kweli amemuona huyo RPC ameenda kinyume na kiapo chake, ni kwanini hajamtumbua kama alivyofanya kwa Mkuu wake wa Mkoa, Mkuu wake wa wikaya na Mkurugenzi wa Jiji, aliowatumbua kwa pamoja?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom