Jitahidi kwenye maisha uwe na mwanamke/mwanaume

Mbona Paulo aliweza ,eliya ,aliweza ,Pythagoras aliweza

Mimi nahisi ni matazamo tunaishi kwa mitazamo tu na usilazimishe mtazamo wako uwe sawa wa wengine

Lakini kwamimi naweza kusema inawezekana na wewe unaweza kusema haiwezekani na Wote tukawa Sawa kutana na sababu zetu sote
 
Si lazima kuwa na mke/mme ndio uishi.
Haya ni maswala ya mtazamo wa mtu , na sijui kwa nini wakati mwingine ukiwa single watu walio kwenye mahusiano wanakuonea wivu balaa .Hii hali nakutana nayo sana yaani badala mimi niwe na wivu kwao wao wanakuwa na wivu kwangu.

MÊmENtO HoMO
 
Wanaona wivu maana ndoa nyingi zimekuwa ni mzigo tokana na sababu tofauti tofauti, kimoyomoyo wanasema bora nisingeoa/kuolewa hivyo hisia zinawaaminisha kwamba wewe umeona mbali zaidi yao ndio maana hujakurupuka
 
Mbona Paulo aliweza ,eliya ,aliweza ,Pythagoras aliweza

Mimi nahisi ni matazamo tunaishi kwa mitazamo tu na usilazimishe mtazamo wako uwe sawa wa wengine

Lakini kwamimi naweza kusema inawezekana na wewe unaweza kusema haiwezekani na Wote tukawa Sawa kutana na sababu zetu sote
Hao hawakuwa wamatumbi,na lengo lao lilikuwa jingine hata wangeulizwa why wako wenyewe,wangejibu wanatamani sana.
 
Mbona Paulo aliweza ,eliya ,aliweza ,Pythagoras aliweza

Mimi nahisi ni matazamo tunaishi kwa mitazamo tu na usilazimishe mtazamo wako uwe sawa wa wengine

Lakini kwamimi naweza kusema inawezekana na wewe unaweza kusema haiwezekani na Wote tukawa Sawa kutana na sababu zetu sote
Niliyotoka kuyaandika,umeyamaliza.
Ahsante sana. + Issac Newton
Moja ya mambo sijawahi fanya ni kuingia kwenye relation mbali na mitego ninayopitia ya hapa na pale..lakini Iq yangu ipo vzr.
 
Unawazungumzia "Paulo" na "Eliya" yupi kwanza
 
Niliyotoka kuyaandika,umeyamaliza.
Ahsante sana. + Issac Newton
Moja ya mambo sijawahi fanya ni kuingia kwenye relation mbali na mitego ninayopitia ya hapa na pale..lakini Iq yangu ipo vzr.
Samahani kwahiyo humjui mwanamke/mwanamke wewe tangu uzaliwe sio?
 
Haya ni maswala ya mtazamo wa mtu , na sijui kwa nini wakati mwingine ukiwa single watu walio kwenye mahusiano wanakuonea wivu balaa .Hii hali nakutana nayo sana yaani badala mimi niwe na wivu kwao wao wanakuwa na wivu kwangu.

MÊmENtO HoMO
Mmh
 
Wabishi waache ila mleta mada umetoa angalizo tu..ila ukweli ni kwamba wengi watakaokubishia ni wale wamelelewa na single parents ...huu ni ukweli wa 90 percent watake wasitake!! Kuishi peke yako kuna repucation mbaya mbeleni kuliko mukiwa wawili..wengi waliopata divorce after reaching 60yrs wanakujaga juta sana..hii ni kwasabb upweke huanza kuwa Tait katka age hii...
Utakomaa na kujidai kijike au kidume but when you get at 60..ndy utajua ww takataka
 
Mwisho wa siku unakuja kufa kwa msongo wa mawazo maana huna mtu wa karibu zaidi kimahusiano wa kukusaidia
 
Back
Top Bottom