Search results

  1. MOSintel Inc

    Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  2. MOSintel Inc

    Wanahitajika vijana 20 wenye ujuzi wa Microsoft Powerpoint & Word

    👥 WANAHITAJIKA VIJANA 20 1. Wenye stadi, uzoefu na ujuzi katika kutumia "MICROSOFT POWERPOINT" na "MICROSOFT WORD" 2. Wenye muda wa ziada wa masaa matatu(3) hadi manne(4) kwa siku. 3. Wenye kazi kuanzia 2 hadi 4 za "Microsoft PowerPoint Presentation" walizowahi kufanya hapo awali. 4. Wenye...
  3. MOSintel Inc

    Nahitaji setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked

    Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie. Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya kunywa kwa kutumia muda wako. Natanguliza shukrani.
  4. MOSintel Inc

    Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika: 1. Installation charges ni TZS 300,000/- 2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya...
  5. MOSintel Inc

    MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  6. MOSintel Inc

    Nahitaji maharage ya njano(gololi) na mahindi (yale mazito)

    Habari, Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki). Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe. Location: Kibaha(Boko-Mnemela). Kwa yeyote anayeweza ku-supply mzigo huo kwa wiki, karibu kwa...
  7. MOSintel Inc

    Kwa Dar, wapi nitapata "stylus pen"?

    Kama heading inavyojieleza: Nahitaji stylus pen inayoweza tumika kwenye any touch screen device; both Android, iOS devices or 2 in 1 laptops. Nipo Dar. Natanguliza shukrani.
  8. MOSintel Inc

    Rais Samia hachukuliwi poa kwa sababu ya jinsia yake. Kwani Mama Anna Makinda hakuwa Mwanamke?

    Kumekuwa na minong'ono ya hapa na pale kuwa watu/wanasiasa Wengi wamekuwa waongeaji tofauti na ilivyokuwa katika utawala wa Magufuli, na kwamba sababu kuu ni kwasababu aliyepo madarakani ni mtawala mwenye jinsia KE. Just ambalo sikubaliani nalo kabisa. Kwa Nchi yetu ya Tanzania si mara yetu ya...
  9. MOSintel Inc

    Nimetosheka na maisha ya ujana wa ki-bachelor (natangaza nia: jimbo lipo wazi)!

    Habari za wakati huu wana-jukwaa, Nina imani mmekuwa na siku njema na mwaka mwema tunapoelekea kuumaliza mwaka 2021. Tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa Neema hii ya Uhai aliyoendelea kutubariki; Jina lake lihimidiwe. Niwashukuru sana ndugu, jamaa na marafiki hapa jukwaani ambao tumekuwa...
  10. MOSintel Inc

    ULINZI: Dira, Dhima na Majukumu ya Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ)

    JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru wa nchi na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dira ya JWTZ Kuwa na Jeshi dogo, shupavu la Viongozi na Wataalamu wenye zana na silaha za kisasa, utayari wa hali ya juu katika ulinzi wa nchi ya Tanzania. Dhima ya...
  11. MOSintel Inc

    Kipindi hiki kura zipi zitagawanyika: Za upinzani au za CCM?

    Kama swali linavyouliza. Mara nyingi vyama vya siasa nyakati za uchaguzi vimekuwa vikitafuta kushika dola kwa njia tofaut. Mojawapo ya njia hizo ni pamoja na kuungana ili kujenga chama chenye mgombea mmoja atakayewapa ushindi wa pamoja. Katika uchaguzi huu wa mwaka 2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA...
  12. MOSintel Inc

    Naomba ushauri: Mradi wa tipper la kusafirisha mawe, mchanga, kokoto & matofali

    Wasalaam wana bodi, Poleni na hongereni sana mbalimbali ya kijamii na kiuchumi. Ni imani yangu kwamba mu wazima wa Afya. Kama heading inavyojieleza, napenda kuomba ushauri na mawazo yenu kwa wenye uzoefu/ujuzi wa uendeshaji wa mradi huu wa "Tipper" la kusafirishia mahitaji ya ujenzi kama mawe...
  13. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Walimu wote tutawainua

    "Mfumo wetu wa Elimu lazima uondokane na habari ya kufaulu mitihani pekee na utengeneze Watoto wenye maarifa, tutafanya mabadiliko makubwa kwenye Elimu ikiwa ni pamoja na kuboresha maisha ya Walimu ambao wameteseka miaka nenda rudi "-Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu akiwa Tabora leo...
  14. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

    Wasalaam wakuu, Poleni sana na shughuli mbalimbali za kujenga taifa. Sote katika jukwaa la siasa tumekwisha shuhudia la mgambo likilia kwa vyama mbalimbali kuanza kampeni za uchaguzi wa tarehe 28, oktoba 2020. Tayari vyama vimekwisha anza kunadi sera zao kupitia wagombea wao. Binafsi...
  15. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu 2020?

    Wasalaam wakuu, Sote tumeshuhudia uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, uliofanyika katika viwanja vya Mbagala. Kwa uzinduzi huo uliofanyika leo na muitikio wa wananchi(wapiga kura), Je CHADEMA walijiandaa na uchaguzi wa mwaka huu?
  16. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 Kundi lipi litawaadhibu/ kuwabeba Magufuli na Lissu katika sanduku la kura?

    Wasalaam wana bodi, Poleni sana na majukumu ya kulijenga Taifa. Nchi yetu inaelekea katika uchaguzi mkuu na tayari mbiu imekwisha lia na amsha amsha za hapa na pale zimeanza. Kuanzia tarehe 27 Agosti, 2020 hadi 28 Oktoba 2020 itakuwa kipindi cha mnyukano majukwaani kwa wagombea kutoka katika...
  17. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 Bukene: Pingamizi dhidi ya mgombea wa CHADEMA lapanguliwa kisomi

    Anaandika kijana makini LUMOLA STEVEN (Mgombea ubunge bukene kupitia CHADEMA) ZEDI SELEMANI JUMANNE Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi aliniwekea pingamizi lakini hakuwa makini kavunja kifungu Cha 40(3) Cha Sheria ya Taifa Uchaguzi, Sura ya 343. Kwenye pingamizi ameandika yeye ni Mgombea wa Chama...
  18. MOSintel Inc

    Ni mgombea yupi wa Urais atatunusuru na hasara ya ATCL?

    Wasalaam wana bodi, Poleni na shughuli za kulijenga Taifa. Mwaka 2015 Ndugu Dkt. JPM alianza safari ya kuliongoza taifa hili huku akifanya marekebisha na masahihisho kadhaa ambayo aliona kuwa pasipo kuyafanya ingemuwia vigumu kuunda serekali ambayo ingekuwa na ufanisi katika kutatua changamoto...
  19. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 Zitto Zuberi Kabwe: Hakuna Jimbo lolote la Lindi ambalo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda

    Wasalaam wanabodi, Poleni sana na majukumu ya kuijenga nchi yetu pendwa Tanzania. Akiongea na waandishi wa habari, kiongozi wa chama cha ACT-WAZALENDO ndg. Zitto Zuberi Kabwe baada ya kuulizwa maoni yake juu ya kauli ya ndg. Nape Nnauye aliyoisema siku chache zilizopita, ndg. Zitto alikuwa ana...
  20. MOSintel Inc

    Uchaguzi 2020 Rorya kumekucha, Ezekia Wenje achukua fomu ya Ubunge

    Mgombea Ubunge Jimbo la Rorya kwa tiketi ya CHADEMA, Ezekia Wenje tayari amekabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo.
Back
Top Bottom