Uchaguzi 2020 Bukene: Pingamizi dhidi ya mgombea wa CHADEMA lapanguliwa kisomi

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Mar 24, 2016
812
585
Anaandika kijana makini LUMOLA STEVEN (Mgombea ubunge bukene kupitia CHADEMA)
ZEDI SELEMANI JUMANNE

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi aliniwekea pingamizi lakini hakuwa makini kavunja kifungu Cha 40(3) Cha Sheria ya Taifa Uchaguzi, Sura ya 343. Kwenye pingamizi ameandika yeye ni Mgombea wa Chama Cha Mapindundi kama inavyosomeka kwenye Barua hapo chini. Hakuna Chama kinaitwa Chama Cha Mapindundi.

FB_IMG_1598531606582.jpg
FB_IMG_1598531562096.jpg
FB_IMG_1598531564605~2.jpg

 
Uamuzi kwenye pingamizi hili ni nini? Naamini Msimamizi wa Uchaguzi , Jimbo la Bukene, atatumia busara Zaidi katika kufikia uamuzi wa pingamizi hili. Ungekuwa wewe ungeamuaje hili? Chemsheni bongo kidogo wana JF.
 
Aisee...

Sijui alikuwa na kilevi alipokuwa anaandika barua yake ya kuweka pingamizi?

Au haya ni makosa ya Msimamizi wa uchaguzi kukosa umakini?

Hii ni ishara kuwa wagombea wengi sana wa CCM wamefanya makosa mengi ktk kujaza fomu zao....
 
Wakati mwingine kusoma kwingi ni matatizo. Si angejibu tu hoja zilizoainishwa kwenye pingamizi?

Amandla.
 
Back
Top Bottom