Search results

  1. Matango

    Huu siyo uchafuzi wa mazingira Dar?

    Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine? Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.
  2. Matango

    Ajira Portal: Verification Certificate Shidaa

    Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria. Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
  3. Matango

    Umeme ni maafa ya taifa- Afrika kusini

    Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme. Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
  4. Matango

    Baada ya hii mikutano ya siasa tutapiga kura wapi?

    Wakuu habari za leo, Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika nyingi za biashara kwenye jiji la kiuchumi la DSM. Nilifika kwenye meza yake ya biashara ya matunda...
  5. Matango

    Ukiingia kwenye NMB Mobile inakwambia salio halitoshi

    Salaam kwa NMB au washirika wao wanaopitia humu kwenye jamvi. Tofauti na Benki nyingine, kwa maslahi ya kibiashara majina siwezi kuyataja. Naomba mwenye kujua ni tatizo la kiufundi au salio langu kwenye simu ni tatizo na kama kuna mwingine anapata tatizo hilo tjuane. Ukiingia kwenye NMB...
  6. Matango

    Umeme ! Umeme !

    Wanabodi, Anayejua jumamosi Julai 30 kuna mgao wa umeme sehemu yoyote ya Dar au umeme kukatwa kwa muda mrefu anisaidie hiyo taarifa. Inawezekana imenipita sasa nabaki kushangaa tu huu umene vepeee !!!
  7. Matango

    Kilimo cha njugu mawe

    Wataalamu na Wajasiriamali naomba ushauri na msaada. Nafikiria kuanza kilimo cha njugu mawe je kina soko? Ardhi ya namna gani inafaa na hali ya hewa ya namna gani. Msaada tafadhali. ============ Njugu Ni Mbegu Ndogo Inayopendwa Ulimwenguni Pote Je, unapenda njugu? Ikiwa ndivyo, si wewe peke...
  8. Matango

    Jenerali Ulimwengu:Umri wa Rais si hoja

    Jenerali Ulimwengu afunguka usiku huu, baada ya mazishi ya Rais wa Zambia akisema Umri wa Mgombea Urais si hoja Ujana si Hoja. Wala Uzee, Jambo Muhimu huyo anayegombea Urais ana uwezo wa kuchapakazi. Anaweza kuwa Mzee kama Rais wa Zambia aliyefariki naye alikuwa mchapa kazi. Na anayo matarajio...
  9. Matango

    Luku !! Luku !!! Tanesco kunani ?

    Kama kuna mdau humu atusaidie, au awajulishe wahusika mtambo wa luku haupatikani. Tupo kwenye shughuli umeme umekata, jenereta hatuna, fedha ya luku ipo, tanesco hawaipokei kuna nini ? Msaada tafadhali.
  10. Matango

    Kwa Wanaompenda JK: Hapa unaweza kupoteza hata Swaumu !!

    Shaaban Robert alipata Kusema "Kizima kupata ufa, kawaida tangu kale. Kheri mwenzie maafa, kawaida ya milele. Bali kweli ina sifa, ipatwapo na uwele, huugua bila kufa na kisha husonga mbele'. Mwisho wa kunukuu. Wale wanaompenda Rais wetu Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, wapate hapa ya...
  11. Matango

    Mjamzito auawa-kuondoa aibu ya familia !!!!!

    HII NDIYO DUNIA TUNAMOISHI ! NI TUKIO LA KUSIKITISHA: LAHORE, Pakistan (AP) — A pregnant woman was stoned to death Tuesday by her own family outside a courthouse in the Pakistani city of Lahore for marrying the man she loved. The woman was killed while on her way to court to contest...
  12. Matango

    Mchanga wa muungano uko wapi ?

    Walipodai hati ya muungano sikuwaelewa. Wameiona hati ya muungano sijawaelewa wanataka kufanya nayo nini ? nitawaelewa zaidi wakija na hoja za kudai- 1-ule mchanga wa tanganyika na zanzibar uliochanganywa wakati wa muungano nao uletwe. 2-kalamu pia zilizotumika kusaini hati ya muungano ziko...
  13. Matango

    Muungano: Ombi kwa marais wetu wapendwa !

    Wanajamvi wanaoniunga mkono katika hili karibuni mtoe maoni yenu. Muungano tunaupenda ! Kushuhudia miaka 50 ya Muungano ni Uhai na jambo la Kushukuru ! Waliouona Muungano ukizaliwa wengi wao hawakubahatika kuona miaka 50 ya Muungano ! Tunaoshuhudia miaka 50 wengi hatutakuwepo Muungano ukitimiza...
  14. Matango

    Mtikila mchungaji: Hongera sana !!!!

    Mchungaji mtikila ameonyesha ukomavu wa uzalendo wa hali ya juu sana !!! Tofauti na matarajio ya wengi. Ameapa kuilinda jamhuri ya muungano !! Hongera sana baba !!!! Huo ndio uzalendo wa kweli waache fitina zao za kukuchonganisha na wana wa nchi !!!
  15. Matango

    Kama naota: Kinachondelea bunge la katiba !!!!!

    wapendwa inabidi niamini tu!!! Malaika wa baba wa taifa mwalimu nyerere malaika wa sheikh abeid karume wote wameisimamia nchi yao!!!! Mungu ibariki tanzania. Wajumbe wote wanaapa kuilinda jamhuri hii ya muungano wa tanzania. Wale waliokuwa wanasubiri kugawana mbao, wakagawane mbao za vitanda...
  16. Matango

    Jarida jipya: Mambo ya afrika na asia

    KWA WALE WAPENZI WA HABARI ZA AFRIKA NA ASIA ZA SIASA, UCHUMI, UTAMADUNI BIASHARA NA MAENDELEO, HIZO NI BAADHI TU, HEBU JARIBU KUTEMBELEA JARIDA LA afrikakiboko.com UONE LINA HIZA GANI YA MANIFAA. NI KITU KIPYA KABISA NDIYO KINA KUJA JUU.
  17. Matango

    Kamati ya maridhiano: Waandishi leteni habari !!!

    wale watetezi wa uhuru wa habari mbona sijawasikia wakikomaa kwamba waandishi nao waingie kwenye vikao vya kamati ya maridhiano? Je kweli walikuwa wanatetea uhuru wa habari au walikuwa na lao jambo ???
  18. Matango

    Serikali ya pamoja: Kumbe inawezekana !!!!!

    nimetafakari sana na kujiuliza maswali mengi. Japokuwa si mwanasiasa. Nimefuatilia mijadala mbalimbali kuhusu muundo wa serikali, mabishano yote. Nimegundua kuwa kuna muundo huu wa vyama vya siasa wala hakuna anaeugusa. Wenyewe hauna "utatu" wala "umbili". Sasa kwanini tunawaumiza vichwa...
  19. Matango

    Wahariri mnakera !!! Samahani kwa picha ?

    Kuna tabia naona inazidi kujengeka katika baadhi ya vyombo vya habari vya televisheni, wanaita Runinga. Na muda mfupi uliopita Chaneli Ten wametoa "kituko" kama hicho. Utasikia wanaanza kusema "Samahani kwa Picha tutakazoonesha hivi sasa". Wahariri mnatukera baadhi ya Watazamaji. Kama mnajua...
  20. Matango

    Mbunge lembeli kuula?

    ILIKUWA RICHAMOND, ILIKUWA MSHIKO WA KATIBU MKUU Wa NISHATI KWA WABUNGE NA SASA OPERESHENI TOKOMEZA. Dr. MWAKYEMBE ALINGA;AA ENGINEER RAMO MAKANI ALING'AA NA SASA MH LEMBELI ! JAPO ZOTE NI KAMATI ZA BUNGE ZILIKUWA, INATAKA MOYO KUTAFUNA JONGOO JE SASA KATIKA BARAZA JIPYA TUMTARAJIE LEMBELI ...
Back
Top Bottom