Mjamzito auawa-kuondoa aibu ya familia !!!!!

Status
Not open for further replies.

Matango

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
515
225
HII NDIYO DUNIA TUNAMOISHI ! NI TUKIO LA KUSIKITISHA:

LAHORE, Pakistan (AP) — A pregnant woman was stoned to death Tuesday by her own family outside a courthouse in the Pakistani city of Lahore for marrying the man she loved.

The woman was killed while on her way to court to contest an abduction case her family had filed against her husband. Her father was promptly arrested on murder charges, police investigator Rana Mujahid said, adding that police were working to apprehend all those who participated in this "heinous crime."


Arranged marriages are the norm among conservative Pakistanis, and hundreds of women are murdered every year in so-called honor killings carried out by husbands or relatives as a punishment for alleged adultery or other illicit sexual behavior.


Stonings in public settings, however, are extremely rare. Tuesday's attack took place in front of a crowd of onlookers in broad daylight. The courthouse is located on a main downtown thoroughfare.


A police officer, Naseem Butt, identified the slain woman as Farzana Parveen, 25, and said she had married Mohammad Iqbal, 45, against her family's wishes after being engaged to him for years.


Her father, Mohammad Azeem, had filed an abduction case against Iqbal, which the couple was contesting, said her lawyer, Mustafa Kharal. He said she was three months pregnant.


Nearly 20 members of Parveen's extended family, including her father and brothers, had waited outside the building that houses the high court of Lahore. As the couple walked up to the main gate, the relatives fired shots in the air and tried to snatch her from Iqbal, her lawyer said.


When she resisted, her father, brothers and other relatives started beating her, eventually pelting her with bricks from a nearby construction site, according to Mujahid and Iqbal, the slain woman's husband.
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,517
2,000
Lahore, Pakistan - Binti wa miaka 25, Farzana Iqbal, alipigwa mawe na kundi la watu hadi kufa nje ya Mahakama Kuu nchini Pakistan kwa kosa la kuolewa na mtu wasiyemtaka.

Baba yake mzazi, ndugu zake wawili na mchumba wake wa zamani waliongoza mashambulizi dhidi ya marehemu katika kutekeleza kinachoitwa mauaji ya heshima.

Farzana Iqbal alikuwa nje ya Mahakama Kuu akisubiri milango ifunguliwe aweze kutetea uamuzi wake alipovamiwa na kundi hilo na kuanza kushambuliwa kwa mawe na matofali hadi kufa!

Watuhumiwa wote walitoroka isipokuwa baba yake aliyekiri kumuua binti yake kwa maelezo kuwa hakuwa tayari kuolewa na binamu yake ambaye ndiye alikuwa chaguo la familia.

Farzana Iqbal alikuwa amefungua kesi kupinga jitihada za familia yake kutaka kumlazimishwa kuolewa na mtu mwingine badala ya mchumba wake aliyemchagua na kumpenda.

pakistan.jpg

Nadhani si wote tuko kwenye karne ya 21, wapo wenzetu yawezekana bado wanaishi katika karne ya mawe! Ni mila, desturi au imani?
 

Possibles

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
1,523
2,000
Watakuwa walipata ukichaa hawa. Sipati picha mama wa marehemu yuko katika hali gani!
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,517
2,000
Ni ujinga wa hali ya juu.
Mara nyingi wauaji hawa hata wakifunguliwa mashtaka hujikuta wako huru; wakati mwingine muuaji huwa anakodishwa na familia na kinachotakiwa ni wanafamilia kumsamehe aliyetenda kitendo hicho cha heshima...basi! Lakini inapotokea kwamba ni mzazi mwenyewe amehusika kama ilivyokuwa kwa huyu binti, ni vigumu sana kufunguliwa mashtaka. Huko Pakistani wanawake zaidi ya 1,000 huuawa kila mwaka kwa njia hii ya honour killings!
 

Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,517
2,000
Wakati mnashangaa hiyo, someni na hii hapa;

Pakistani women shot in 'honour killings'

Three women in north Pakistan have been shot dead by a male relative who seemed to have believed that they had brought shame on their family, police say. A mother and her two daughters - one aged just 17 - were allegedly killed by her stepson.

He had apparently seen a family video in which the daughters were shown laughing in front of their family home.

The woman's stepson appears to have considered the footage an assault on the family's honour.
So-called honour killings are common in northern Pakistan where women are seldom seen by men other than their relatives.
Kweli dunia ina wehu wake.
 

mjasiria

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
4,165
2,000
Wahindi na wapakistani kwenye suala la ndoa wana ubaguzi wa kutisha. Hovyo sana.
 

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
12,597
2,000
kuna watu wagumu sana kuelewa,Panya road wako wapi waje wawanyooshe hawa watu?
Nalog off
 

mjasiria

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
4,165
2,000
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja. The so called "honor killings" in utamaduni wa wafursi, wapashtuni, na wahindi. Na hiki kitu kipo sana kwenye indopak culture. Uislamu umeingia kwenye hayo maeneo na kuukuta huo utamaduni ukiwepo tayari, na umeendelea kuwepo hadi leo. Ndio maana suala la kuua kwa sababu ya ndoa hata wahindu na wabudha kule India wanafanya sana tu. Sema kwa kuwa shida yenu ni kuusema uislamu, mambo kama haya yakitokea Pakistani ambako kuna waislamu zaidi basi ndio inakuwa habari kuu.

Leo hii wazaramo ambao wengi wao ni waislamu hucheza ngoma uchi. Ni haramu kwenye uislamu kucheza ngoma tena uchi. Sasa leo kwa kuwa wazaramo wanafanya hivyo ndio utasema ni uislamu wao ndio unawafanya wafanye hivyo?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom