Matango
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 535
- 118
Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo sehemu inanirudisha juu kwenye ku Add Qualifications.
Niki Add, zile sifa zinaingia kule kule juu ambako tayari zingine zipo na hakuna namna ya kuzipunguza.
Hii "Verification Certification" wanayoitaka, au inayoulizwa na system yao inajazwa vipi? Msaada tafadhali kwa ambaye amekutana na hii changamoto na akafanikisha.