Search results

  1. T

    Hapa nilimjibu vizuri au nilikosea ?

    Habari zenu wadau, Kama wiki hivi imepita kuna Dada mmoja kanifuata inbox kwenye Facebook messenger akanisalimia kisha akaanza kuniuliza maswali kwamba nafanya kazi kwenye Ofisi gani na je nimeoa au nina mtoto na kama hivi vyote bado sijavifanya he nina mpango wa kuoa lini.Nadhani Huyu binti...
  2. T

    Kumbe wanawake wanapenda kudanganywa

    Kuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la. Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya...
  3. T

    SIONI UMUHIMU TENA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

    Kwa hali jinsi inavyokwenda mifuko ya jamii inaonekana imeshindwa kujiendesha sababu kumuambia mtu aliesitisha mkataba na kampuni aliyokua anafanya kazi kwamba asubiri miaka 55 ndo aende kuchukua mafao yake hii haiingii akirini. Unakuta mtu ameajiriwa na kampuni flani kwa mkataba let say wa...
  4. T

    Sina imani na huduma ya kulipia UDART kwa Mpesa

    Habari za muda huu waungwana, Nimeongeza salio kwenye kadi yangu ya Udart kwa mpesa na nikarudishiwa ujumbe kwamba nimefanikiwa kulipia kadi yangu na wamenitumia hadi namba ya risiti,chakushangaza nimeenda kwenye kituo chao kucheki balance lakini salio nililoweka halionekani.Sio kama nimekosea...
  5. T

    Kuhusu Vodacom 4G

    Fomu ya maombi ya kujiunga na vodacom 4G ina utitiri wa maswali yasiyokua ya lazima,wanauliza mambo mengi sana ambayo sidhani kama yana uhusiano wowote na huduma hii ya 4G. Yani maswali ni mengi utadhani unajaza fomu ya kuwaomba ajira,mbona Tigo wako simple sana hawana hizi complications...
  6. T

    Ni siri gani imejificha hapa ?

    Hababi za muda huu, Nimekua nikiangalia tamthilia ya siri za familia na kuona kwamba waigizaji wengi wa wakike katika tamthilia hii wamefungusha mizigo mizito (vyura) kitu ambacho kimekua ni kivutio kikubwa cha watazamaji walio wengi hasa wanaume. Swali langu ni kwamba,je msanii wa kike hawezi...
  7. T

    Msaada wa dawa nzuri ya malaria sugu

    Habari zenu waungwana, Naomba kwa mwenye kufahamu dawa nzuri ya malaria sugu inapopatikana anielekeze na anitajie na jina la hiyo dawa mana huwa nasumbuliwa na Malaria ya mara kwa mara mpaka nakosa raha. Kiukweli siwezi kukaa miezi miwili bila ya kuumwa Malaria.Nimejaribu kutumia DUOKOTEKSIN na...
  8. T

    Huu ni ugonjwa ama?

    Kwa siku za hivi karibuni imekua desturi kwamba ili nipate usingizi usiku lazima nimgegede mama watoto. Tofauti na siku za nyuma kwamba naweza kaa hata siku mbili bila ya kumgegeda mama watoto wangu,sasa nashindwa kuelewa ni tatizo au ni hali ya kawaida. Wataalam naomba mnijuze
  9. T

    Msaada kwenye tuta wadau

    Habari zenu wadau,naomba mwenye zile form za bodi ya mikopo za kujaza kwa mkono naomba anisaidie mana nimeangalia kwenye website yao sijaziona. Asanteni
  10. T

    HALOTEL nini shida

    Tangu jana network inasumbua kupita maelezo,ni vyema mkatuhabarisha wateja wenu kwamba kuna tatizo kidogo la kiufundi.
  11. T

    Basi zuri la ifakara msaada

    Habari wadau,naomba msaada wa kujulishwa ni basi gani zuri ambalo ni luxury la kutoka Dar kwenda ifakara na nauli yake mana natarajia kwenda uko kesho. Asante
  12. T

    Sijui nina mkosi gani; Tangu nimalize chuo sijawahi kupata kazi ya maana, msaada jamani

    Tangu nimalize elimu yangu ya chuo kikuu sijawahi kupata kuajiriwa na kampuni yoyote ile ya kunilipa walau hata 300k kwa mwezi ile niweze hata kusukuma maisha walau hata kwa kujibana.Naishia tu kupata vitempo vya mikataba ya mwezi mmoja au miwili ambavyo havinisaidii chochote zaidi tu ya...
  13. T

    Kipengele cha kuhakiki vyeti kinakera sana

    Nachukia sana ninapoona kampuni inatangaza nafasi za kazi na moja ya masharti wanakwambia uende mahakamani kusetifai vyeti vyako kisha ndo utume maombi. Wanashindwa kutambua kwamba vijana waliopo mtaani kuna wakati wanakosa hata pesa ya kutolea vyeti photocopy,kwakua waajiri wao wana uhakika na...
  14. T

    Kwa hali hii bora daladala ziendelee kufanya kazi

    Kwa nilichokiona leo kwwnye mabasi ya mwendokasi nadhani ni bora daladala ziendelee kufanya kazi ili abiria uweze kuamua kama kupanda daladala au kupanda mabasi yanayoitwa ya mwendokasi. Leo nimeenda kwenye kituo cha mabasi ya mwendokasi kukata tiketi nikitegemea kwamba nitapewa tiketi ya Tshs...
  15. T

    Post moja watu mia saba duuuuh!!

    Sasa huku ni kupotezeana muda,unawezaje kuita watu 700 na ushee kwa nafasi moja ya kazi....This is too much utumishi...Siwezi kuudhuria hata kwa marungu
  16. T

    Nimekata tamaa na ajira

    Najitahidi sana kutuma maombi ya kazi kila uchao lakini mpaka sasa sijabahatika kupata ajira ya kunisaidia kuendesha maisha yangu. Haipiti siku bila kupitia website ya utumishi kuona kama kuna ajira mpya wametangaza.Nimekua muudhuriaji mzuri wa interview zao na mwaka jana nilifanikiwa kuingia...
  17. T

    Tigo huu sasa wizi

    Viwango vya kutolea pesa kwa huduma ya Tigopesa vimekua vikubwa mno kuliko kawaida.Huu ni unyonyaji wa waziwazi. Ada ya kutoa Tshs 5000 imefikia 800 kitu ambacho kwa wateja wadogo wadogo ni maumivu.Embu fikirieni mara mbili na hizo tariffs zenu otherwise idadi ya wateja wenu itashuka. It is...
  18. T

    Natafuta hii ngoma ya hip hop

    Huu wimbo sikumbuki ni msanii gani aliimba ila Mr Blue alishirikishwa kwenye chorus na kiitikio chake kilikua kina sema "me sielewi aaaaaaaah,anataka nini aaaaaaah.....ina biti nzito na jamaa alichana vyakutosha na kuna mstari jamaa alichana unasema "si uliniona high yani kama vile jero"...
  19. T

    Kabati kubwa la vyombo linauzwa!

    Kabati kubwa la vyombo linauzwa limetumika miezi mitatu tu.Bei inaanzia laki mbili maongezi yapo.Kama uko interested ni pm.Thanks
  20. T

    Kamanda Mpinga na kikosi chako tunaomba ukomeshe hili tatizo!!!

    Imekua ni kawaida kwa daladala zinazopiga route ya Mbezi kwenda Kariakoo kujiongezea kiholela nauli toka Tshs 600 iliyopangwa na serikali hadi Tshs 1000 katika kituo cha kariakoo kuanzia majira ya saa tisa alasiri na kuendelea. Kama mtu amegeuka na gari nauli hiyo kwake ni sahihi lakini si...
Back
Top Bottom