T Tamu chungu Member Dec 20, 2015 85 64 Jan 23, 2016 #1 Kabati kubwa la vyombo linauzwa limetumika miezi mitatu tu.Bei inaanzia laki mbili maongezi yapo.Kama uko interested ni pm.Thanks
Kabati kubwa la vyombo linauzwa limetumika miezi mitatu tu.Bei inaanzia laki mbili maongezi yapo.Kama uko interested ni pm.Thanks
moe junior JF-Expert Member Mar 7, 2014 902 924 Jan 23, 2016 #2 Ambatanisha na kapicha mkuu!! Yapo ya aina nyingi tofauti
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,753 9,568 Jan 25, 2016 #7 weka picha mkuu tulione hilo kabati pls
moe junior JF-Expert Member Mar 7, 2014 902 924 Jan 26, 2016 #8 Huyu jamaa atakuwa anaitafuta post yake haioni