Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Habari zenu wadau,naomba mwenye zile form za bodi ya mikopo za kujaza kwa mkono naomba anisaidie mana nimeangalia kwenye website yao sijaziona.
Asanteni
Asanteni
Mhhh, unaelewa kweli wewe utaratibu?
Unajaza online kwanza baada ya kufungua account ikishakamilika ndio unaiprint then ndio hatua za kusaini (kujaza kwa mkono zinafuata).