Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Habari zenu wadau,
Kama wiki hivi imepita kuna Dada mmoja kanifuata inbox kwenye Facebook messenger akanisalimia kisha akaanza kuniuliza maswali kwamba nafanya kazi kwenye Ofisi gani na je nimeoa au nina mtoto na kama hivi vyote bado sijavifanya he nina mpango wa kuoa lini.Nadhani Huyu binti aliniuliza kuhusu nafanya kazi wapi baada ya kuona picha zangu facebook nikiwa ofisini ninapofanyia kazi.
Kiukweli nilimjibu kwamba sina kazi sababu ndo kwanza nimemaliza chuo hivyo nipo kwenye mchakato wa kutafuta ajira na lengo la kumjibu hivi ni kumpima ili nijue kwamba anamchukuliaje mtu ambae bado hana ajira na je anaweza kuwa kwenye mahusiano nae au anataka tu wale ambao tayari washafanikiwa.
Baada ya kumdanganya kwamba bado natafuta kazi nikamuuliza kwamba tunaweza kuwa wapenzi akasema NO nikamuuliza kwanini kimyaaaaaaaaaa hakujibu chochote mpaka hivi leo hajajibu chochote halafu kibaya zaidi ni wakawaida sana kiasi kwamba sikutaka hata kumpapatikia ila kama angekua pini daaaaaah hata mshahara wangu angeujua Siku ileile.
Je nilikosea kumjibu hivyo au nilikua sahihi ?