Ni siri gani imejificha hapa ?

Tamu chungu

Member
Dec 20, 2015
85
64
Hababi za muda huu,
Nimekua nikiangalia tamthilia ya siri za familia na kuona kwamba waigizaji wengi wa wakike katika tamthilia hii wamefungusha mizigo mizito (vyura) kitu ambacho kimekua ni kivutio kikubwa cha watazamaji walio wengi hasa wanaume.

Swali langu ni kwamba,je msanii wa kike hawezi kufikisha ujumbe kwa jamii kama hana makalio makubwa ?
 
Back
Top Bottom