Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Huu wimbo sikumbuki ni msanii gani aliimba ila Mr Blue alishirikishwa kwenye chorus na kiitikio chake kilikua kina sema "me sielewi aaaaaaaah,anataka nini aaaaaaah.....ina biti nzito na jamaa alichana vyakutosha na kuna mstari jamaa alichana unasema "si uliniona high yani kama vile jero"
Mwenye nao naomba anisidie naukubali sana....ni wa miaka mingi kdg
Mwenye nao naomba anisidie naukubali sana....ni wa miaka mingi kdg