Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Kuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la.
Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya yeye kunikatalia ombi langu.
Analeta maneno meeeeengi sana mara oooooh tulia tu na mkeo lakini cha kushangaza me nikiuchuna mara kwa mara ananitext eti oooooh mbona kimya .Nitaachaje kuwa kimya wakati ulishanambia nitulie na mke wangu.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba wanawake hawapendi kuambiwa ukweli. Hata kama una wanawake ishirini ukimwambia sina anaridhika kabisa.