Post moja watu mia saba duuuuh!!

Hatari sana..hapo kwenye compliance officer na finance officer ni majanga.
 
mie nimeitwa afu siku hiyo ntakua mkoa kikaz..nimeumia kubania wengine nafasi wenye uhitaji.
 
sasa kwenye hili jukwaa unatafuta nin?
Mkuu kumbukua hili jukwaa ni la nafasi za kazi na tenda,Kwa hiyo yawezekana yeye anasupply huduma mbalimbali kwa hiyo anasaka fursa huku mara anakutana na post kama hii anaamua kutupia uzoefu wako.Sio mbaya!!
 
Back
Top Bottom