HALOTEL nini shida

Tamu chungu

Member
Dec 20, 2015
85
64
Tangu jana network inasumbua kupita maelezo,ni vyema mkatuhabarisha wateja wenu kwamba kuna tatizo kidogo la kiufundi.
 
Ni vyema saivi katika soko hili huria uwe na laini mbili za makampuni tofauti, hapa network inasmbua unahamia kule
 
Back
Top Bottom