Basi zuri la ifakara msaada

Tamu chungu

Member
Dec 20, 2015
85
64
Habari wadau,naomba msaada wa kujulishwa ni basi gani zuri ambalo ni luxury la kutoka Dar kwenda ifakara na nauli yake mana natarajia kwenda uko kesho.

Asante
 
nipo Mbingu.. karibu
Karibu??? Tokea siku ile utupie picha zako hapa JF nakwepa sana kukutana na wewe dear kwa sababu kwa jinsi ulivyo sexy naweza nikakuomba utamu bure!!!..... Kwa kweli huo mwaliko wako NO!
 
Back
Top Bottom