Kuhusu Vodacom 4G

Tamu chungu

Member
Dec 20, 2015
85
64
Fomu ya maombi ya kujiunga na vodacom 4G ina utitiri wa maswali yasiyokua ya lazima,wanauliza mambo mengi sana ambayo sidhani kama yana uhusiano wowote na huduma hii ya 4G.

Yani maswali ni mengi utadhani unajaza fomu ya kuwaomba ajira,mbona Tigo wako simple sana hawana hizi complications, ingekua mtu ndo unasajiri laini kwa mara ya kwanza hapo sawa lakini unakuta laini yako ina zaidi ya mwaka tangu usajiri.

Wanauliza mambo ya Mpesa,namba ulizozipigia simu mara ya mwisho,sijui mambo ya LUKU uliyonunua mara ya mwisho.Sasa mambo ya LUKU yana uhusiano gani na huduma ya internet 4G.Badilikeni bana

Maswali mengi utafikiri unaomba ajira bana
 
Inaitwa KYC yaani Know Your Customer, wakicheza hapa wanafungiwa ndio maana wanakuuliza mambo hayo mkuu
 
Back
Top Bottom