Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
Habari za muda huu waungwana,
Nimeongeza salio kwenye kadi yangu ya Udart kwa mpesa na nikarudishiwa ujumbe kwamba nimefanikiwa kulipia kadi yangu na wamenitumia hadi namba ya risiti,chakushangaza nimeenda kwenye kituo chao kucheki balance lakini salio nililoweka halionekani.Sio kama nimekosea procedure lahasha,nimefuata procedure zote mpaka kutumiwa huo ujumbe na namba nilizotumiwa kwenye huo ujumbe ndo zilezile zilizopo kwenye kadi yangu.
Naomba kwa mwenye uzoefu wa kulipia kadi kwa Mpesa anijuze kwamba ni muda gani inachukua mpaka pesa uliyolipia kwa Mpesa kuonekana kwenye kadi mana nakosa imani kabisa na mfumo huu wa kulipia kadi kwa kutumia Mpesa