Search results

  1. el_magnefico

    Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  2. el_magnefico

    Diamond Platnuz aachia 'kibao' kingine kinaitwa "Ongeza"

    Wimbo unaitwa “Ongeza”
  3. el_magnefico

    Msaada wa kupata simu iliyoibwa

    Habari wanajukwaa.Siku chache zilizopita kuna mtu wangu wa karibu aliibiwa simu na cha ajabu zaidi huyo aliyeiba simu anaitumia kutapeli watu je inawezekana kumpata huyo mtu tukilifuatilia suala hilo?
  4. el_magnefico

    Msaada katika hili kwa anyefahamu

    Nina simu yangu tecno W3 tatizo lake limeanza siku tatu zilizopita. Tatizo la kwanza ni mtu akinipigia simu inakata na inaonesha line busy,je shida inaweza kuwa ni nini?
  5. el_magnefico

    Msaada katika hili la hukumu.

    Hivi ni hatua zipi za kufuata pale ambapo mtu ameshindwa kesi katika baraza la kata na anapuuzia hukumu ya baraza hilo licha ya kushindwa kesi.Naombeni maelekezo katiko hilo
  6. el_magnefico

    Msaada tafadhali

    Habari wadau.Nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa maduka yanaouza vitu kama tv na redio kwa maeneo ya Musoma.
  7. el_magnefico

    Msaada tafadhali

    Kwa mdau anayeifahamu shule ya msingi Brookside academy iliyopo Kimara Suka.Nilikuwa nahitaji kufahamu walimu wa pale wanalipwa kiasi gani.
  8. el_magnefico

    Natafuta nafasi ya kazi, nina shahada ya Sanaa na Elimu (BAED)

    Habari wanajukwaa mimi ni mhitimu wa shahada ya sanaa na elimu (BAED) katika masomo ya kiswahili na kiingereza pia nimesoma kozi fupi ya "computer application" ambapo nimejifunza kutumia microsoft office word,excel na power point nahitaji kazi ya kufundisha au yoyote ya halali itayoniwezesha...
  9. el_magnefico

    Hili ni tatizo

    Kuna watu naweza kusema ni wapiga hela tu hasa hasa facebook wamekuwa na mtindo wa kufungua pages tofautitofauti wakishawishi watu wapakue application yao inaitwa Telebox na nilishasikia kuna watu wameshapigwa sana hela na hao watu Mfano wamefungua page yao na kujifanya ni Mheshimiwa Jakaya...
  10. el_magnefico

    Yule jamaa aliyemkumbatia Rooney aibuka

    Aliyemkumbatia Rooney agoma kuoga na sasa watu wanamkumbatia yeye kwa buku jero!!!
  11. el_magnefico

    Elezea utata katika sentensi hii halafu uoneshe namna ya kuutatua.

    Tumia mkono wako wa kulia.
  12. el_magnefico

    Utatuzi na msaada

    Ukiwa na swali lolote au ukihitaji msaada katika kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita unaweza ukasaidiwa hapa kadri itakavyowezekana.Ningependelea sarufi kwa mrejesho wa haraka.
  13. el_magnefico

    Hivi hii imekaaje?

    Una mpenzi wako(mwanamke) na mahusiano yenu hayana muda mrefu sana ila anakwambia umuhudumie(mf hela na vitu vingine) ila unamwambia ungependa kusex na yeye lakini ana'panic na kuanza kukwambia mwanaume una tamaa.Hivi kuna mapenzi hapo? alitaka mapenzi ya upande mmoja tu (kumhudumia yeye tu) au...
  14. el_magnefico

    Msaada tafadhali

    Habari za humu wadau,natumia simu aina ya samsung j1 na line ya tigo.Imekuwa ikinisumbua kwa siku kadhaa sasa kiasi kwamba inafikia muda nashindwa kupiga simu,kutuma messages na hata kutumia internet kwani muda mwingine hata alama ya H+ au 3G na E huwa inapotea na nilijua tatizo ni line yangu...
Back
Top Bottom