el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
Habari za humu wadau,natumia simu aina ya samsung j1 na line ya tigo.Imekuwa ikinisumbua kwa siku kadhaa sasa kiasi kwamba inafikia muda nashindwa kupiga simu,kutuma messages na hata kutumia internet kwani muda mwingine hata alama ya H+ au 3G na E huwa inapotea na nilijua tatizo ni line yangu ile nime 'renew' ila naona tatizo bado lipo na nikiangalia mobile network state inaonesha disconected.Msaada unahitajika tafadhali.