el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
Una mpenzi wako(mwanamke) na mahusiano yenu hayana muda mrefu sana ila anakwambia umuhudumie(mf hela na vitu vingine) ila unamwambia ungependa kusex na yeye lakini ana'panic na kuanza kukwambia mwanaume una tamaa.Hivi kuna mapenzi hapo? alitaka mapenzi ya upande mmoja tu (kumhudumia yeye tu) au imekaaje hiyo?