el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 496
- 575
Nina simu yangu tecno W3 tatizo lake limeanza siku tatu zilizopita. Tatizo la kwanza ni mtu akinipigia simu inakata na inaonesha line busy,je shida inaweza kuwa ni nini?
shida unatumia tecnoshida inaweza kuwa ni nini?
Ndio nikiweka kwenye simu nyingine simu zinaingia bila tatizo.Umejaribu kubadili line kujua tatizo ni la simu au line?
hahahahahaaa