Msaada tafadhali

el_magnefico

JF-Expert Member
Nov 6, 2015
488
570
Kwa mdau anayeifahamu shule ya msingi Brookside academy iliyopo Kimara Suka.Nilikuwa nahitaji kufahamu walimu wa pale wanalipwa kiasi gani.
 
Yaani unafanya vitu vigumu vionekane vyepesi na pia unauliza vitu vigumu kwa hoja nyepesi.

Hoja kuwa nyepesi ni mtizamo wako tu, ni sawa na kuuliza shirika fulani wanalipa mshahara kiasi gani kwa mtu anayefanya kazi gani na hilo ni swali lililoambata na maombi ya msaada kama utaweza kutoa msaada nitashukuru sana ila kama hutaweza kutoa msaada nitashukuru tu.
 
Nenda, hata kama mshahara ni tofauti na matarajio yako hawawezi kukulazimisha kuanza kazi kama wamekuhitaji,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom