el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 496
- 575
Kuna watu naweza kusema ni wapiga hela tu hasa hasa facebook wamekuwa na mtindo wa kufungua pages tofautitofauti wakishawishi watu wapakue application yao inaitwa Telebox na nilishasikia kuna watu wameshapigwa sana hela na hao watu
Mfano wamefungua page yao na kujifanya ni Mheshimiwa Jakaya Kikwete na kushawishi watu waipakue playstore cha ajabu kuna watu nao wanaunga mkono kama vile ni kweli page ya mhusika link hii hapa
Je mamlaka husika hili wanaliona kwani hao majamaa sio mara moja kuona pages zao