Search results

  1. Mrs Gudman

    Nafikiri nahitaji kuwa na watu wapya

    Basi Bwana kuna siku nilikuwa nimepungukiwa kiasi fulani cha hela kati ya Tsh laki tano hadi milion moja na niliitaji niipate kwa haraka sana, Mimi siyo muhumini wa kumkopa rafiki hela ila siku hiyo nikasema lemi try kwa watu wachache wenye uwezo labda nitapata, Kwenye simu nina watu kama mia...
  2. Mrs Gudman

    Upi mtazamo wako kuhusu idadi ya watoto wa kuzaa kwa maisha ya sasa?

    Kumekuwa na hoja maoni na mitazamo tofauti sana kwa baadhi ya watu kuhusu idadi sahihi ya watoto wanaozaliwa zama hizi kulinganisha na zamani. Dada mmoja mtu mzima kazini ana watoto watatu na wote wapo shule anasema "Najilaumu sana kuzaa watoto wachache sasa hivi tumebaki wawili ndani, vijana...
  3. Mrs Gudman

    Vyuo vya Udaktari

    Habari naomba mnisaidie kimawazo Mdogo wangu alisoma PCB shule ya kata akabahatika kupata one ya point 9, anachotaka kusoma ni MD pekee yake Ameomba UDOM-Amekosa MUHAS-AmekosA BUGANDO-Amekosa KCMC-Amekosa St. Fransis Ifakara-Amepata Fee structure ya St. Fransis ni kubwa sana ada tu pekee ni...
  4. Mrs Gudman

    Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

    Unaweza kufa na nyumba ukaacha hapo, otherwise jenga bila haraka, kwa awamu na taratibu uta enjoy Ukifikia level vitu vya kingereza uwiiiiii ni stress juu ya stress hasa kama unafosi nyumba kuisha na budget yako ni ndogo Hongereni watu mnaomiliki mabangalooooo Hongereni mnaomiliki ghorofa
  5. Mrs Gudman

    Baada ya Changamoto uwezo wangu wa akili umepungua

    Habari Wana Jamii Forum Nianze Kwa historia kidogo , Takribani miaka minne iliyopita nilikuwa napitia vipindi vigumu sana Kwa sababu nilimpoteza mwenzangu, malezi na majukumu kuniwia mengi Kutoka kwenye hali ya kutokujishughulisha kivile (kama mjuavyo wadada wamama wa Kiafrika ukiwa na...
  6. Mrs Gudman

    Mafua vs homa kali

    Naombanei mnishauri kuhusu hii hali Iko hivi Nina mtoto wa miaka minne ,ila anapata mafua mara kwa mara na Kila mafua yakimshika yanaambatana na joto Kali sana kati ya nyuzi joto 38 hadi 40 hivyo dawaza kushusha homa kama paracetamol hazisaidii nalazimika kuchoma sindano ya Diclofenac Kila mara...
  7. Mrs Gudman

    Nina 6M nahitaji Gari (Isn't, Raum au Allex)

    Hellow Jf Members habari zenu,Nina Million sita cash nahitaji Gari ndogo aina ya Ist,Raum au Allex ya namba D iliyopo kwenye hali nzuri ya kwenda na kurudi Kazini tu Kama unayo nicheki hapa ila tafadhali usiwe dalali, kama unauza zaidi ya hapo tutaongea Location Dodoma Ukiwa Dar nitamwagiza...
  8. Mrs Gudman

    #COVID19 Ushauri: Baba yangu amekaa na mtu anayehusiwa kufa kwa Corona

    Jamani hapa naomba ushauri huko kijijini kwetu kuna vifo vya ghafla huyu ni mtu kama wa sita, mtu anabanwa tu anaondoka Sasa jana kazidiwa mzee wa jirani kabanwa tu na alikuwa haumwi alishindwa kupumua watu wakaitwa kumsaidia na kumuombea akiwemo baba yangu mzazi mwenye miaka 64, ( baba hana...
  9. Mrs Gudman

    Benki tumieni fursa hii ya kupanda kwa gharama za kutoa fedha kwenye mitandao ya simu

    Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati...
  10. Mrs Gudman

    Vijana wa Kiume badilikeni

    Habari za jumapili wana Jamii Forum Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
  11. Mrs Gudman

    Kununua Gari/Kukuza Biashara /Kujenga nyumba ya kupanga

    Habari zenu wana jamii forums I think this is right place ambapo naweza kupata ushauri yakinifu from great thinkers Mimi ni mdada naombeni ushauri wenu wapambanaji wenzangu ambao mmeshapiga hatua za kimaisha Nahitaji kukopa Milioni ishirini kutoka kwenye mshahara wangu nishaenda kwa afisa wa...
  12. Mrs Gudman

    Nahitaji laptop sharti iwe kwenye hali nzuri

    Naomba kuuliza mwenye laptop anauza. RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea. Hard disc kuanzia 200 na kuendelea. Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea. Bei isizidi laki tatu Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm. NB: Nipo Dodoma
  13. Mrs Gudman

    Msaada: Mwanangu ana tatizo la kula chumvi

    Habari wadau wa Jf Nina tatizo ambalo linanisumbua kwa mwanangu. Mwanangu anakula chumvi kupita kiasi, ana miaka mitatu kasoro. Hii tabia ameirithi kwa Baba yake ambaye naye alikuwa anakula chumvi sana, awezi kula chochote bila chumvi na hata akila anasema asikii ladha ya hicho chakula...
  14. Mrs Gudman

    Application inayoweza kurekodi stock, mauzo na faida

    Habari ndugu zangu Wana Jf Naomba kusaidiwa na mtu yeyote mwenye uzoefu na hili Ipo hivi, nimewahi kusikia kuwa Kuna application Fulani inakusaidia kurekodi stock ,mauzo ,inakuonyesha faida KWA kila bidhaa hata ukitaka kujua bidhaa flani zimebaki pc ngapi unaweza kufahamu ,na Kila kitu...
  15. Mrs Gudman

    Mama niangalie...

    Habari zenu wana Jf Katika malezi ya watoto kuna mengi sana ambayo wazazi tunakutana nayo, kama mama nimekuwa nikiona mambo kadhaa kwa mtoto wangu toka akiwa mdogo hadi sasa hivi na moja ya mambo hayo machache ni haya. Mtoto huwa hasahau yani hili nimelishuhudia. Kuna siku akiwa na 1.5hivi...
  16. Mrs Gudman

    Kwa wageni na wenyeji wa Jiji la Dodoma

    Karibuni sana
  17. Mrs Gudman

    My Super Enermies

    Maadui zangu wote Ni wale watu ambao kwa namna moja ama nyingine ; 1.Niliowahi kuwasaidia 2.Niliowahi kuwapenda kwa dhati 3.Niliowahi kujitoa kwao kwa Hali na Mali 4.Niliowahi kuwaamini sana 5.Ni miongoni mwa Wana ndugu nilioamua kuwafadhili Ila mwisho wa siku wamegeuka ADUI Sina adui ambaye...
  18. Mrs Gudman

    Asiyetunza watu wa nyumbani mwake

    Habari za asubuhi,Leo nimeamka na tafakari hii Ni baada ya kusoma Visa vingi mitandaoni vikieleza jinsi ambavyo baadhi ya familia zimepoteza muelekeo/watu wameacha msingi,Sijui Ni utandawazi ama Ni Nini lakini mambo yamebadilika sana. Kumekuwa na wimbi kubwa la kina baba kutohudumia familia...
  19. Mrs Gudman

    Unamzungumziaje Baba Yako

    Habari zenu wanna jf Katika kuazimisha siku ya kina baba duniani Leo tujadili kidogo namna unavyoweza kuzungumza juu ya baba yako. Binafsi kwa upande wangu toka nikiwa mtoto namfahamu baba yangu Kama mtetezi ,mlinzi na mtunzaji ,kiongozi,mwalimu na msemaji mkuu wa familia Sitaki kuimagine...
Back
Top Bottom