Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Maadui zangu wote Ni wale watu ambao kwa namna moja ama nyingine ;
1.Niliowahi kuwasaidia
2.Niliowahi kuwapenda kwa dhati
3.Niliowahi kujitoa kwao kwa Hali na Mali
4.Niliowahi kuwaamini sana
5.Ni miongoni mwa Wana ndugu nilioamua kuwafadhili Ila mwisho wa siku wamegeuka ADUI
Sina adui ambaye sikuwahi kujihusisha na maisha yake kwa namna moja au nyingine,SINA
Nikukumbushe tu :Rafiki yako wa Leo anaweza akaja kuwa ndo bonge la adui wako kesho (japo so lazima na si wote)
Jioni njema