Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Hellow Jf Members habari zenu,Nina Million sita cash nahitaji Gari ndogo aina ya Ist,Raum au Allex ya namba D iliyopo kwenye hali nzuri ya kwenda na kurudi Kazini tu
Kama unayo nicheki hapa ila tafadhali usiwe dalali, kama unauza zaidi ya hapo tutaongea
Location Dodoma
Ukiwa Dar nitamwagiza mtu
Karibuni
Kama unayo nicheki hapa ila tafadhali usiwe dalali, kama unauza zaidi ya hapo tutaongea
Location Dodoma
Ukiwa Dar nitamwagiza mtu
Karibuni