Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Habari ndugu zangu Wana Jf
Naomba kusaidiwa na mtu yeyote mwenye uzoefu na hili
Ipo hivi, nimewahi kusikia kuwa Kuna application Fulani inakusaidia kurekodi stock ,mauzo ,inakuonyesha faida KWA kila bidhaa hata ukitaka kujua bidhaa flani zimebaki pc ngapi unaweza kufahamu ,na Kila kitu kinapouzwa unaandika yenyewe inasoma tu
Siijui vizuri Ila nafikiri kwa maelezo yangu nitakuwa nimeeleweka nini nataka,
Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia angalau jina na naipataje anisaidie
Kama Kuna mtumiaji pia ANIPE faida zake kwenye biashara Mana napata changamoto kubwa Sana kwenye kuweza kujua nini kimeisha lini,nini bado kipo KWA wingi nakadhalika
Asanteni