Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Basi Bwana kuna siku nilikuwa nimepungukiwa kiasi fulani cha hela kati ya Tsh laki tano hadi milion moja na niliitaji niipate kwa haraka sana, Mimi siyo muhumini wa kumkopa rafiki hela ila siku hiyo nikasema lemi try kwa watu wachache wenye uwezo labda nitapata,
Kwenye simu nina watu kama mia nane + niliosave namba zao nili scrol A-Z wakunisaidia niliohisi tupo karibu na hicho kiasi wanaweza kuafford walikuwa watu watano, kati ya hao niliongea na wawili hahahah kweli sikupata kila mtu alinipa maelezo yake kuwa hana., mwisho nikampigia maza akanipa fasta bila maelezo( live long mumy[emoji7])
Nahisi nahitaji kuwa na network kubwa zaidi, nahitaji kuwa na friends with benefit, watu wengi kwa sasa tunaangaliana status tu hakuna kusaidiana na siku ukipata shida ndo utaelewa kuwa phone book uliyojaza haina msaada kihivyo
Unawezaje kupata marafiki wapya wamuhimu(kwa jina lingine watu wa connection siyo lazima hela kuna ishu nyingi mjini) ikiwa ikiwa siyo mtu wa kujichanganya sana
I think nahitaji kupanua circle yangu, nishaurini