Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 608
- 1,263
Naomba kuuliza mwenye laptop anauza.
RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea.
Hard disc kuanzia 200 na kuendelea.
Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea.
Bei isizidi laki tatu
Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm.
NB: Nipo Dodoma
RAM iwe kuanzia 3GB na kuendelea.
Hard disc kuanzia 200 na kuendelea.
Ikae na charge kuanzia masaa mawili na kuendelea.
Bei isizidi laki tatu
Kama unayo comments chini nikufate au njoo pm.
NB: Nipo Dodoma