Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Habari za asubuhi,Leo nimeamka na tafakari hii Ni baada ya kusoma Visa vingi mitandaoni vikieleza jinsi ambavyo baadhi ya familia zimepoteza muelekeo/watu wameacha msingi,Sijui Ni utandawazi ama Ni Nini lakini mambo yamebadilika sana.
Kumekuwa na wimbi kubwa la kina baba kutohudumia familia makusudically kabisa(acha wale ambao Hali imechangia).
Baba anakipato kabisa lakini ukimuuliza mara ya mwisho aliweka luku lini ajui,Alilipa ada lini ajui,alinunua chakula lini hakumbuki jukumu lote la kuprovide for family wameachiwa kina mama ,Kuna kina mama wamechukua majukumu yote ya ubaba na ya umama pia ,Kama haumo miongoni mwao hongera Sana usipanic Wala kusema hawapo wahurumie na muwaombee
Kundi la pili na kubwa waliozaa kabla ya ndoa ,kuachana au kutengana Hawa ndo wengi ,mara nyingi utasikia Kama anataka matumizi ya mtoto aende ustawi hahaha ,nikukumbushe tu my brother kutoa huduma kwa ajili ya damu yako ni IBADA,hutoi ili ifahamike unatoa hata mwanamke akikana hukutoa (Mana wapo wafanyavyo hivyo) bado haitafuta dhawabu yako mbele za Mungu.Angalia mifano ya watu ambao walishindwa kuthamini watoto zao Leo wanavyohangaika kurudisha mahusiano kwa ugumu,
Mahusiano mazuri hujengwa wakati wa utoto na si kwenye utu uzima
Soma hi
Lakini kama mtu hawatunzi watu wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani kwake, basi, mtu huyo ameikana imani, na ni mbaya zaidi kuliko mtu asiyeamini
Najua zipo changamoto hasa zile zinazosababishwa na wanafamilia wenyewe au wazazi wenza lakini mwanaume rijali Ni yule anayeweza kukabiliana na vikwazo ili kutimiza adhima yake.
Nikutakie tafakuri njema