Benki tumieni fursa hii ya kupanda kwa gharama za kutoa fedha kwenye mitandao ya simu

Mrs Gudman

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
608
1,263
Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana

Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini

Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati madhubuti itakayowavutia wateja hasa maeneo ya mijini panapo patikana huduma hizi

Kwa sasa kama huna account NMB au CRDB basi bora nikufate kuliko kutuma na ya kutolea.
 
Ni wazo zuri sana lakini hii Serikali haramu inaweza kabisa kuingia huko nako ili kufanya uporaji wake.

Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana

Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini.

Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati madhubuti itakayowavutia wateja hasa maeneo ya mijini panapo patikana huduma hizi

Kwa sasa kama huna account NMB au CRDB basi bora nikufate kuliko kutuma na ya kutolea.
 
NMB iko karibu kila wilaya hapa Tz.

Mawakala walioko vijijini wachungulie fursa NMB na CRDB

Unafuu bado upo kwa Bank labda nao wapandishe tozo zao.
Minadani na masokoni vijijini je labda mabenk yaongeze mawakala wao vijijini
 
Ukumbuke serikali kwa sasa iko mawindoni,ikiona windo lake limehamia kwenye ATM fasta wanapandisha tozo kwani jully 2022 unafikiri ni mbaaaaaliiiiiiiii kama kule kaburini chatooooooo
 
Hata hivyo bado wanaotumia huduma hiyo lazima waendelee japo watapungua. Hakuna namna.

Mimi nilivyo bahili hata kwa hizi tozo zilizokuwepo nilikuwa naona kubwa

Penye upenyo wa kuziepuka nilikuwa naziepuka

Mfano NMB unamtumia mtu laki 4 gharama ya kutuma ni bure gharama ya kutoa kwenye ATM 1000 muamala mzima unagharimu 1000 sasa kuna nini tena hapo mkuu?
 
Hata hivi tunavyosifia sifia Huduma za Bank wanatuchora tu kudadeki

Mwakani unashagaa upepo umegeukia huko
 
Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana

Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini

Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati madhubuti itakayowavutia wateja hasa maeneo ya mijini panapo patikana huduma hizi

Kwa sasa kama huna account NMB au CRDB basi bora nikufate kuliko kutuma na ya kutolea.
Tatizo la kuisha pesa kwenye ATM nyingi za mtaani limekaribia
 
Hata hivyo bado wanaotumia huduma hiyo lazima waendelee japo watapungua. Hakuna namna.

Mimi nilivyo bahili hata kwa hizi tozo zilizokuwepo nilikuwa naona kubwa

Penye upenyo wa kuziepuka nilikuwa naziepuka

Mfano NMB unamtumia mtu laki 4 gharama ya kutuma ni bure gharama ya kutoa kwenye ATM 1000 muamala mzima unagharimu 1000 sasa kuna nini tena hapo mkuu?
Bora upande uber kuliko kutuma pesa.
Ukiniomba pesa njoo uzifuate.
 
Back
Top Bottom