Search results

  1. bitebo7

    Hongera mtani mpira sio uadui

    Nawapongeza watani zetu, ingawa roho inauma kwa mafanikio ya soka lenu lilivyokua kwa kasi Kwenye ushabiki nitasema nyinyi ni wabovu ila mbungi ikipigwa nakubari kuwa mlijifunza kutoka kwa 🦁 na mmeongeza kitu zaidi Mwakani naamini chama langu SIMBA litafanya mabadiriko, nasi tutaonesha...
  2. bitebo7

    Leo taifa linaenda kupata aibu

    Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo...
  3. bitebo7

    Yanga hatoshinda leo

    Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi! Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi. Poleni sana.
  4. bitebo7

    Msaada kwenye Online application

    Wakuu kila ninapojaza naletewa ujumbe huu
  5. bitebo7

    Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Kwema humu? Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...
  6. bitebo7

    Simba Sc yatoa taarifa kuhusu Jonas Mkude

    Hizi ni dalili za Mkude kuachwa
  7. bitebo7

    Sijafanikiwa kupata mtoto, Mke wangu anasumbuliwa na chango inaweza kuwa sababu? Naombeni ushauri

    Habari zenu wakuu, Niende kwenye lengo moja kwa moja nimebahatika kufunga ndoa kama miaka mitatu iliyopita lakini ndoa yangu mpaka sasa aikubahatika kupata mtoto wala mkewangu hakuwai kushika mimba. Mkewangu anasumbuliwa sana na tatizo la chango na kuna wakati siku zake upitiliza hata zaidi ya...
  8. bitebo7

    Game za kwenye computer

    Msaada wadau wapi naweza pata izo games pasipo kuzipakua
  9. bitebo7

    Kabati la vyombo na languo

    Vyuma vimekaza mwenyewe anarudi shamba Anauza kabati la vyombo lipo vizuri la mbao bei 200,000/= Kabati la nguo mbao tupu lina milango yake ila alijafungwa so itahitaji upate fundi aifunge iyo milango mwenyewe ameiegesha tu bei 180,000/= Anapatikana Dar es salaam, MBEZI Maongezi yapo Mpigie...
  10. bitebo7

    Nauza vifaa vya laptop

    Nauza vifaa vifuatavyo vya laptop 1.Hard disk 160GB sata,Tsh 25000/= 2.Adapter ya laptop aina ya DELL,Tsh 20000/= 3.Ram 1GB DDR2,Tsh 15000/= 4.Betri la laptop aina ya DELL inakaa na chaji kwa lisaa limoja bei Tsh 45000/= 5.Mlango wa DVD wa laptop,Tsh 20000/= Bei zinazungumzika kidogo Nipo Dar...
  11. bitebo7

    Mdada anatafuta Kazi

    Habari zenu
  12. bitebo7

    Nafunga ndoa karibuni sana

    Hatimae yametimia mda si mrefu nitafunga pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu Itakua tarehe 27/8/2017 Dar es salaam Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu Karibuni sana
  13. bitebo7

    Vifaa vya saluni na laini ya tigo pesa vinauzwa

    Nauza vifaa tajwa hapo juu kwa bei ya kutupa kabisa Vifaa vya saluni Vito viwili kila kimoja 45000/= Vioo viwili kila kimoja 45000/= Mashine mbili bado mpya zina miezi mitatu tu kila moja 50000/= Benchi la kukalia wateja 40000/= Laini ya Tigopesa 150000/= Maongezi yapo pia tunaweza anya...
  14. bitebo7

    Njoo tukujengee Nyumba iliyo bora

    Habari zenu wakuu Sisi ni mafundi ujenzi tuliobobea katika ujenzi wa nyumba tunafanya kazi zifuatazo 1.Kujenga nyumba 2.Kupaua 3.Kufunga gypsum pamoja na kuskim 4.Kupaka rangi nyumba 5.Kuweka tiles 6.Kufanya wiring Nimeshindwa kuweka picha hapa ila atakaehitaji kuona kazi zangu anicheki whatsapp...
  15. bitebo7

    Nauza laini ya uwakala ya Tigopesa&Computer aina ya HP

    Habari ndugu zangu Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa bei 270,000/=.Nakupa pamoja na simu yake pia ina kamisheni kidogo ya mwezi huuu,ukiichukua ni kuanza kazi tu. Pia nauza na computer hp ikiwa full,inapiga kazi fresh kabisa ina nyimbo za bongo fleva mpya na...
  16. bitebo7

    Vitu hivi vinauzwa bei poa tu

    DELLflat screen tv pia unaweza kuitumia kama monitor kwenye computer 200,000/= Deki ya singsung 45000/= King'amuzi cha startimes 20000/= Subwofer aina ya rising 70000/= Laini ya m pesa 120000/= Nipo dar es salaam Mawasiliano namba 0656899091 VYOTE VIPO KWENYE HALI NZURI Nauza kwasababu naamia...
  17. bitebo7

    Computer4Sale HP computer full inauzwa

    Inauzwa computer full aina ya HP Ina sifa kama zifuatazo Intel(R) Pentium(R) D CPU 3.40GHz 3.39GHz,1.23 GB of RAM 580 GB of HARD DISC Bei ni kuanzia laki tatu 300,000 na maelewano yapo kwa mawasiliano namba 0656899091 nipo dar es salaam NB; Computer ina nyimbo zote mpya pamoja na zazamani...
  18. bitebo7

    Nauza kiwanja, kipo Mbagara

    Wakuu nauza kiwanja kipo maeneo ya Mbagara, Charambe kinaukubwa wa 40Ã-40. Kipo karibu na barabara, eneo lina umeme pia kiwanja hakina darali tunafanya biashara kimepimwa na kina hatimiliki zote bei ni 3.5milioni. Kwa mawasiliano namba 0656899091, maelewano yapo.
  19. bitebo7

    Eti kaja kupiga story na mimi saa tano hii ya usiku,si kutegana uku?

    Habari za usiku huu wana JF Kuna binti ambae tumezoeana sana na tumekua marafiki wakubwa tu ila aijawai kutokea nikaenda alipopanga na yeye akuwai kuja ninapoishi ingawa anapafahamu na mimi napafahamu anapoishi Cha kushangaza mda huu baada ya kutoka kuoga nimemkuta amekaa mlangoni akinisubiri...
  20. bitebo7

    Wanaohitaji mifuko ya jumla na rejareja na Mayai ya kuku wa kisasa jumla na rejareja

    Habari ndugu wana JF? Kwa wale ambao wanahitaji mifuko laini ambayo inatumika sana kwenye kuwekea chips,unga,maharage nk Inapatikana kwa jumla na rejareja,tupo dar es salaam Pia na mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana kwa bei ya rejareja na jumla kwa tray Kwa maelezo na manunuzi piga namba...
Back
Top Bottom