Nauza laini ya uwakala ya Tigopesa&Computer aina ya HP

bitebo7

JF-Expert Member
May 1, 2015
858
596
Habari ndugu zangu
Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa bei 270,000/=.Nakupa pamoja na simu yake pia ina kamisheni kidogo ya mwezi huuu,ukiichukua ni kuanza kazi tu.

Pia nauza na computer hp ikiwa full,inapiga kazi fresh kabisa ina nyimbo za bongo fleva mpya na zakitambo,bolingo,zilipendwa,taarabu,ragae yaani ina mzigo wa kutosha pamoja na program za kutosha
NAKUPA NA MODERM YA TIGO PAMOJA NA SPIKA ZA PC
HARD DISK580 GB
DVD RAM DRIVE
Intel [R]
Pentium [R] D CPU 3.40GHz
3.39.GHz,1.23 GB OF RAM
WINDOW XP
BEI 250,000/=
MAWASILIANO 0656 89 90 91
HAINA TATIZO LOLOTE
IMG_20170213_161611.jpg
IMG_20170213_162013.jpg
IMG_20170213_161747.jpg
IMG_20170213_161611.jpg
IMG_20170213_162013.jpg
 
Attachments

  • IMG_20170213_161922.jpg
    IMG_20170213_161922.jpg
    59.7 KB · Views: 35
  • IMG_20170213_161935.jpg
    IMG_20170213_161935.jpg
    59.8 KB · Views: 30
Laini zimeshuka bei sana mkuu huku moro100 hadi 80, unapata sema hiyo mashine kwa 200 na kwa vifaa ulivyoambatanisha nayo sio mbaya japo hali ya uchumi na kazi za mashine zimekua ngum sana
 
Habari ndugu zangu
Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa bei 270,000/=.Nakupa pamoja na simu yake pia ina kamisheni kidogo ya mwezi huuu,ukiichukua ni kuanza kazi tu.

Pia nauza na computer hp ikiwa full,inapiga kazi fresh kabisa ina nyimbo za bongo fleva mpya na zakitambo,bolingo,zilipendwa,taarabu,ragae yaani ina mzigo wa kutosha pamoja na program za kutosha
NAKUPA NA MODERM YA TIGO PAMOJA NA SPIKA ZA PC
HARD DISK580 GB
DVD RAM DRIVE
Intel [R]
Pentium [R] D CPU 3.40GHz
3.39.GHz,1.23 GB OF RAM
WINDOW XP
BEI 250,000/=
MAWASILIANO 0656 89 90 91
HAINA TATIZO LOLOTE
View attachment 470143 View attachment 470144 View attachment 470145 View attachment 470143 View attachment 470144

Kaka me nina 150 kwa hiyo line
 
Back
Top Bottom