Search results

  1. jamii01

    Projects and Investments Officers

    Qualification and experience. -Holder of a Bachelor degree in Project Management, Investment,Business, or any related field. Or equivalent. -Demonstrated knowledge in Computer Application is a MUST -Demonstrated knowledge in Land Laws is an added advantage -Must be fluent in both English and...
  2. jamii01

    Nafasi za mauzo

    Naomba niwatumie kama nilivyoipokea. Location: Mwanza Singida Geita Shinyanga Kagera Tabora Simiyu Kigoma Mara Qaulifications. Diploma in Sales, Marketing,Business Administration,Business Management,Supply chain,Accountancy, etc and recognised by Nacte. Valid Draving Licence( not necessary)...
  3. jamii01

    Mama Samia, jengo la BOT Mwanza tumepigwa

    Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi. === Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi...
  4. jamii01

    Rais Samia, achia pesa hali ni mbaya mtaani

    Napenda kumkumbusha tu Mama akumbuke huku mtaani hali ni mbaya sana hakuna pesa mtaani tunarudi enzi za ujima za kibadiishana mchele na nguo au mafuta na unga n.k Biashara hazifanyiki sababu watu hawana pesa(purchasing power) na wenye dhamana na uchumi wetu wameweka pamba masikioni. Waziri wa...
  5. jamii01

    Ubaguzi wa ajira kama huu hatuutaki nchini

    Nimeona post kama hii ya nafasi ya kazi,nikajiuliza ina maan Tanzania limekuwa shamba la bibi? Hakuna mtanzania mwenye vigezo vya kufanya kazi kama hii kweli? Hili halikubaliki watanzania wenzetu wako wanapambana na bahasha zao usiku na mchana.. Fursa zinazopatikana wapewe Watanzania kwa ajili...
  6. jamii01

    Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

    Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign. 1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa...
  7. jamii01

    Naomba kuelekezwa namna ya uzalishaji wa pombe kali

    Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie. Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji. 1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake 2. Machine zinazohitajika kuanzia hatua ya mwanzo hadi mwisho kwenye packaging. upatikanajI wa machine na bei...
  8. jamii01

    Biashara ya Viumbe Hai

    Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri 1.Mtaji 2.Maeneo ya kupata hivi viumbe 3.Vibari 4. soko 5.namna ya usafirishaji na gharama zake 6.Namna ya kupata connection za hawa wateja 7.mfumo wa malipo na mengineyo mengi...
  9. jamii01

    Urasimu mwingine, Afisa wa TRA anakukadiria kodi akiwa ofisini bila kutembelea biashara yako

    Huu ni upumbavu mwingine mwingine wa maafisa wa TRA anakukadiria kodi akiwa ofisini bila kutembelea biashara yako, makadirio yanakuwa makubwa, ukilalamika anakwambia andika barua ya kuomba kupunguziwa kodi. Baada ya hapo anakwambia kodi haipungizwi kwa kuandika barua tu, mpaka tufike tuone...
  10. jamii01

    Je, ni haki kulipia uhakiki wa nyaraka mahakamani?

    Kumekuwa na tabia ya makarani wa mahakama kuomba pesa pale unapokwenda kuhakiki baadhi ya nyaraka huku ukiwa na original nyenyewe mfano..cheti cha ndoa,cheti cha kuzaliwa,vyeti vya shule,nyaraka nyingine kwa ajili ya kupata mikopo bank na nyenginezo nyingi..mara zote huwa wanomba pesa na...
  11. jamii01

    Msaada wa Gari ya Toyota Wish

    Wakuu nahitaji kununua family car japo nilikuwa nikitaka kuchukua kati ya Noah au Toyota wish. Mwenye uelewa zaidi wa Toyota Wish naomba anijuze uimara,mafuta na spares nisije kupoteza pesa zangu kumbe gari zenyewe michosho. Noah ni last option japo silipendelei sana..au kama unawazo ya gari...
  12. jamii01

    WAZO LA KIJINGA:NITEUZI ZIPI ZA RAIS NI KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA?

    Napenda kujua niteuzi zipi za umma (serikalini)ambazo zipo kwa ajili ya watumi wa umma zinazofanywa na rais. Ninavyojua mie teuzi nyingi zinazofanywa na rais kujaza nafasi za utumishi wa umma lazima mtu huyo atoke serikalini au taasisi zake ..nafasi kama mabalozi,makatibu wakuu,wakurungezi n.k...
  13. jamii01

    Wazo la kijinga: Kuna dalili zote kwa serikali ya Magufuli kushindwa

    Naomba kusema mie sio mwanauchumi ila mpaka sasa naona dalili zote za serikali ya awamu ya tano kushidwa.. Tulikuwa tukitegemea unafuu wa maisha lakini hari imekuwa mbaya kuliko awali. Kwa sasa mzunguko wa biashara hakuna kwa mfano.Kariakoo kwa sasa watu wanachia milango kwa sababu hakuna...
  14. jamii01

    Msaada Airticket

    Msaada mwenye kujua website ambayo naweza kununua online international flight airticket very cheap naomba anisaidie!
  15. jamii01

    Mitumba kwa bei jumla

    Deleted
  16. jamii01

    Maghufuli hata hotuba za kila mwisho wa mwezi?

    Mwenye kujua tunapenda atueleze Rais JPM hana hotuba za kila mwezi kama wenzake waliomtangulia?maana kuna mambo mengi yanaikumba jamaa tunataka kusikia nini rais anasema na mwelekeo wa utawala wake. Hata hotuba ya mwaka mpya kimya walioko jikoni ebu watujuze.
  17. jamii01

    CCM ni wazi imezidiwa

    Nimesoma taarifa ya ufungaji wa campaign wa CCM,aina hii ni wazi CCM Imezidiwa. Hauwezi kubadisha mawazo ya wapiga kura kwa masaa 3 hata kwa kurusha kwenye hivyo vituo vya radio 67 na TV station 5 kufunga campaign kwa ccm yawezekana pia inawaaga wananchi. Nguvu hizi wangeanza nazo toka mwanzo...
  18. jamii01

    Nchi hiko gizani bado unachagua CCM

    Shetani yuko pembeni anawatazama watanzania wanaoitaka CCM,navyojua anamwambia Mungu hawa siko nao hata kidogo kwa maana nyingine hawana akili tena za kuwa binadamu mwenye utashi na maamuzi..
  19. jamii01

    "Freedom is coming Tomorrow"ndio habari ya mujuni

    Huu ujumbe unaosambazwa kwa njia ya sim nimeupenda watu wamechoka na utawala wa CCM kweli.wanadai wanaonenewa, wanapigwa,wanazurumiwa,wanakufa,wanabaguliwa na mengine mengi.ila muziki wake ndio nimeupenda "Freedom is Coming Tomorrow "
  20. jamii01

    CRDB huduma ni mbovu bora hata NMB

    Mnichukie au msinichukie huduma za kibank crdb kwa sasa ni mbovu kuliko hata nmb.miaka ya nyuma nakumbuka crdb ndio ilikuwa ikiongoza kwa huduma nzuri kwa wateja..na lugha safi kwa wateja huku nmb ikidharaulika kwa sasa nikinyume chake..nimepita branch nyingi kwa huduma za kibank kati ya crdb...
Back
Top Bottom