Mkuu hebu jazia nyama basi kwenye hii kitu maana hapo binafsi sijaelewa kabisa.Tuna export mitumba kwa bei ya jumla Grade A+ kutoka nchi tofauti..hii ni biashara isiyokuwa na hasara.nimeweka wazi ili kuweza kuona mitumba inavyokuwa sorted kabla yakuchakachuliwa.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuuliza.
Mkuu hebu jazia nyama basi kwenye hii kitu maana hapo binafsi sijaelewa kabisa.
1.vp kuhusu gharama ya bale moja kwa hiyo grade A
2.makadilio ya idadi ya mitumba kwa kila bale nk
Binafsi nataka nianze biashara ya mitumba mizuri ya watoto 1-10 yrs..ila sina uzoefu hivyo nisaidie hapa naweza kuwa mteja wako mbeleni who knows.