Maghufuli hata hotuba za kila mwisho wa mwezi?

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,982
1,421
Mwenye kujua tunapenda atueleze Rais JPM hana hotuba za kila mwezi kama wenzake waliomtangulia?maana kuna mambo mengi yanaikumba jamaa tunataka kusikia nini rais anasema na mwelekeo wa utawala wake.
Hata hotuba ya mwaka mpya kimya walioko jikoni ebu watujuze.
 
Tunataka huduma bora kwenye elimu na afya.....shilingi ipande thamani ili unafuu wa maisha kwa masikini ushike hatamu, kama anashughulikia haya basi hotuba za mwisho wa mwezi hazina maana.
 
Mwenye kujua tunapenda atueleze Rais JPM hana hotuba za kila mwezi kama wenzake waliomtangulia?maana kuna mambo mengi yanaikumba jamaa tunataka kusikia nini rais anasema na mwelekeo wa utawala wake.
Hata hotuba ya mwaka mpya kimya walioko jikoni ebu watujuze.
Unajua zile hutuba za kila mwezi zilikuwa zinagharimu walipa Kodi kiasi gani kila mwezi!? Fanya utafiti kidogo Uje na majibu hapa sio kulia lia tu.
 
Hotuba hakuna
hata ule utaratibu wa kutoa sikukuu kwa watoto yatima siku za sikukuu pia hakuna mwaka huu
 
Watu wanataka mabadiliko ila wanataka style zile zile za zamani ziendelee, ukifanya tofauti unaoneka huwezi Kazi ukifanya vile vile unaoneka na wewe ni wale wale smh
 
Hata mie siwaelewi
 
Hotuba za nini......?....
Sisi tunataka vitendo.......hatuna shida na simulizi........
 
Sisi tunataka kuona kazi ikifanyika wewe mwenzetu unataka kusikia hotuba, hivi hotuba za kila mwezi za mkwere zilikusaidia nini vile...
 
Mwenye kujua tunapenda atueleze Rais JPM hana hotuba za kila mwezi kama wenzake waliomtangulia?maana kuna mambo mengi yanaikumba jamaa tunataka kusikia nini rais anasema na mwelekeo wa utawala wake.
Hata hotuba ya mwaka mpya kimya walioko jikoni ebu watujuze.
Kama unapenda hotuba kiasi hicho, basi chukua copy za Mkapa na JK upige replay.
 
Back
Top Bottom