jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,975
- 1,404
Kumekuwa na tabia ya makarani wa mahakama kuomba pesa pale unapokwenda kuhakiki baadhi ya nyaraka huku ukiwa na original nyenyewe mfano..cheti cha ndoa,cheti cha kuzaliwa,vyeti vya shule,nyaraka nyingine kwa ajili ya kupata mikopo bank na nyenginezo nyingi..mara zote huwa wanomba pesa na usipompatia basi kazi yako anakataaa kufanya(kuweka Muhuri na sahii)
Je mwanachi anatakiwa kulipia hii huduma au hutolewa bure?
Nazungumza hivyo kwa sababu nilikwenda mahakama ya mkoa mwanza karani mmoja alitaka nimpatie laki moja kwa ajili ya kuvelify copy za vyeti vya dogo akidai ni vingi mno..nilikataa kumpatia hiyo pesa!
Alikuwepo mama mmoja pale pale counter yule karani alimwambia ampe elfu 20,000 kwa ajili ya kuvelify copy ya cheti chake cha ndoa maana alikuwa na case pale mahakamani yule mama alikuwa hana ile pesa kisha alitoka nje kisha nakaunza kulia pale.
Sheria au utaratibu unatakiwa huwe wa namna gani hapa kwa wananchi maana wengi wanaokwenda kuomba kufanyiwa vilification mahakamani ni wa vipato vidogo au vya kati zaidi ya hapo mtu anakwenda kwa mwanasheria kuondokana na usumbufu wa mahakamani..