Search results

  1. Moseley

    Nataka kununua Toyota Voltz au Toyota Alex

    Naomba ushauri. Nina mpango wa kuagiza gari moja kati ya hizo mbili. Nichukue ipi? Na kwa nn?
  2. Moseley

    Kazi za BOT ilikua kiini macho?

    Habari JF? Naomba kujua, hv kazi za BOT zilizotangazwa October mwaka jana zilikua kiini macho? Kama hawakua tayari kwa nn walitangaza? Au watu washaajiriwa tayari?
  3. Moseley

    Nahitaji Digitek decodet

    Naomba msaada, nahitaji king'amuzi cha digitek. Wapi naweza kipata? Nimejaribu kuchek kwenye website yao, namba ya simu haipatikani. Shukrani.
  4. Moseley

    Weight gain (healthier)

    Habari JF dr? Mwaka jana nilienda kufanya body check up. Bahati vipimo vyote vilikua sawa na sikua na tatizo lolote, isipokua underweight. Dr alinambia uzito wangu na weight haviendani na I have to add more weight. I am 56kg na urefu wa 182cm. Kwa urefu huo, natakiwa niwe na uzito wa 75kg...
  5. Moseley

    Nimenyimwa hati ya eneo ninalolimiliki

    Habari wana JF? Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Kwa ufupi ni kwamba, naombeni msaada wa kisheria juu ya jinsi ya kupata hati ya eneo la zaidi ya hekari 18 ninalolimiliki kiasilia. Nimekua katika harakati za kuyapatia hati maeneo ambayo ninayamiliki miaka nenda rudi. Maeneo hayo nimekua...
  6. Moseley

    Natafuta ICT Job.

    Habari JF? Nime graduate BSc Computer science kwenye chuo kimojawapo nje ya nchi.. Ningependa kufanya kazi nyumbani Tanzania, kwa hiyo ninaomba mwenye taarifa za zitakazowezesha kupata kazi ya ICT.. I am ready to start a job anytime kuanzia August. Naweza fanya hata Assignment based Jobs pia...
  7. Moseley

    Davos: Kwa nini Tanzania ilikwepa hoja ya Sir Tim Berners-Lee

    Ni kwanini JK alikwepa kujibu hoja ya Sir Tim Berners-Lee wa W3C kuhusu IT technology in Education huko Davos? Au ndo kusema we still manufacturing teachers and textbooks?? Una maoni gani kuhusu mtizamo wa serikali juu ya IT? Je, serikali ya Tanzania iko tayari kweli ku invest kwenye IT kama...
  8. Moseley

    JQuery Image Plugins

    Habari JF? Naomba kufahamu JQuery image plugins.. Just nipatie link mahali ntakapozipata Shukrani
  9. Moseley

    Worst InterView Ever

    Nimekua nikipenda nyimbo za huyu jamaa, ila kwenye hii interview naona kateleza.. Ofcourse kuna mambo kadhaa ya mhimu kayasema, kama kuhusu watu kutumia English kwenye movies halafu hata ki-English chenyewe hawakijui.. Pia kuhusu Editors ambao wanafanya hovyo wakati wa ku edit movie... But...
  10. Moseley

    Tanzania "Education Management Information System"

    Habari wana JF, Naomba kufahamu changamoto zinazoikabiri Tradition(Manual) Information system katika sekta ya Elimu.. Especially Secondary schools pekee.. Nataka kufahamu Matatizo yanayowakabili walimu katika ku process taarifa zao za siku hadi siku mashuleni.. Hii nikimaanisha processing ya...
  11. Moseley

    Naomba kufahamu Upatikanaji wa kazi Dubai

    Habari wanajamvi? Nimetokea kupapenda sana Dubai,Singapore na Malaysia na ninatamani kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi huko.. Nataka kufanya application ya kazi huko.. So, mwenye information za kutosha naomba anipatie au ani PM... Nataka kupata taarifa kuhusu upatikanaji wa kazi na mazingira...
  12. Moseley

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Mifano ya Barua ya Maombi, Wasifu (Resume) na Rejea (Reference): Kwa hisani ya HMS
  13. Moseley

    Elections 2010 Dr. W. Slaa for 2015 (Presidential election)

    Ndugu zangu, kuna msemo unasema, "The future is for those who prepare for it today".. Nchi inakwenda mrama Maisha yanazidi kuwa magumu Ufisadi unaongezeka Tulisikia magamba yanavuliwa, lakini utafiti wangu unaonesha magamba yanavaliwa upya kwa kasi na ari mpya Nidhamu...
  14. Moseley

    Masaburi ni kitu gani?

    Hiki kiswahili kimenishinda.. Kuna mahali naona watu wana comment, "kufikiri kwa kutumia masaburi".. Masaburi ni nini hasa??.. Shukrani
  15. Moseley

    The Longest Thread in JF

    Katika pekua pekua yangu, nimegundua thread hii ndo the longest kushinda zote... https://www.jamiiforums.com/international-forum/112307-the-libyan-crisis-and-gadaffis-options.html Ina pages 179 Comments 3571 na bado ngoma inaendelea sijui itaishia wapi...
  16. Moseley

    Naomba msamaha kwa wana-JF (Msema hovyo,Lukolo etc) hawa na Wengine

    Never give up mtoto wa mfugaj msani Chuma Chakavu Msema hovyo Lukolo Na wengine walioifungua link niliyoitoa Nilianzisha thread ambayo imeonekana kua inashtua, especially kwa watu wenye matatizo ya mshtuko.. Sikufanya hivyo kwa makusudi. Thread yenyewe ni hii hapa Click hapa Naomba...
  17. Moseley

    Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

    Click link hii hapa chini, na uangalie tofauti ya hizo picha mbili utakazoziona.. Note: Usifungue kama una-hisi una pressure http://www.susya.ru/flash/fvp.swf
  18. Moseley

    JK: Hana uwezo wa kunyeshea Kidatu.. Umeme utarudi, Mungu akipenda..

    JK kasema hana uwezo wa kunyeshea mabwawa, kwa hiyo anasikilizia siku mvua itakaponyesha umeme utarudi.. Amesikitika kwamba, hata yeye inamuuma kuona umeme haupo, ila angeweza angenyeshea fasta.. Tusubirini mvua inyeshe, mgao utaisha...
  19. Moseley

    Servlet & JSP using Apache Tomcat SERVER

    Habari, Naomba msaada wa jinsi ya ku run Servlet kwa kutumia Apache Tomcat server (Natumia tomcat 7), with JDK kwenye windows.. JDK seems to work fine.. Nimecreate form tag kwenye .html file na I called the servlet, but it didn't respond as how I wanted it to.. So, may be nimekosea kuiweka...
  20. Moseley

    Kufikisha Ujumbe kwa Waziri wa Elimu ya Juu

    Habari? Nahtaji kufikisha ujumbe wangu kwa waziri wa elimu ya juu.. Je nifanyaje?? Na, hakuna uchakachuaji wowote wa ujumbe unapokua unasafiri kwenda kwake?? Maana wasiwasi wangu huenda ujumbe wangu usimfikie na badala yake ukakomea njiani..
Back
Top Bottom