Naomba kufahamu Upatikanaji wa kazi Dubai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kufahamu Upatikanaji wa kazi Dubai

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Moseley, Dec 1, 2011.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari wanajamvi?

  Nimetokea kupapenda sana Dubai,Singapore na Malaysia na ninatamani kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi huko.. Nataka kufanya application ya kazi huko..

  So, mwenye information za kutosha naomba anipatie au ani PM... Nataka kupata taarifa kuhusu upatikanaji wa kazi na mazingira kama ni conducive..


  Mimi ni Competent Computer scientist, niko specialized kwenye issue za Programming(web/desktop apps) na Database Systems(Design & Administration)


  Shukrani
   
 2. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Unajua watu wengine mnashangaza kupita maelezo?
  Umesema unapapenda na bado huna taarifa zake, sasa unapapendaje? Au umependa majina ya hizo nchi? Yawezekana na shemeji yangu ulianza kumpenda kabla hujamuona na ndio maana sasa mmeachana akili zinakuruka unaongea vioja zaidi. Ubongo wako unahitaji kuwa programmed upya kabla hujaanza kuprogram madudu kwenye ofisi za watu.
   
 3. n

  nyuki45 New Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 4. k

  kishanshuda Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kwani ungemjibu vizuri nini kingekupata, au unataka onekana kuwa we ndo unajua kureply saaaanaa, mangapi we unauliza na unajibiwa hivo, khaaaa, jitu zima hovyo, mambo ya shemeji yameingiaje hapa, we vipi ww, kama hujui kaa kando c lazima kila kitu ujibu banaaaa..... ebu tupishe cku nyingine.......nyambafu weee,
   
 5. k

  kishanshuda Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  ingia google andika jobs in dubai, tena ukiweza andika hadi proffession yako, hopefull utapata kitu kizuri sana...........ALL THE BEST
   
 6. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hey hey hey, cool down! Hata ukitaka nikupeleke Dubai sitasita kukupeleka lkn don't be pathetic. Mnaleta zenu hapa za kujifanya mainjinia huku hata kuongea hamjui. Ukiamua kuwa a bit logical utagundua ni ufukunyuku mtupu mtu kuniambia anapapenda Dubai halafu hana taarifa zake. Sasa aliwezaje kupapenda. Na wewe na jazba zako nimegundua huna shemeji, cool down I will find one for you
   
 7. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingia surakitabu ingiza neno mange kimambi lowkey huyu anaishi dubai na ni maarufu atakusaidia sana ni binti mkarimu katika kusaidia watu.
   
 8. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi lazima ucomment kila thread unayoiona!? Ka hauna cha kumjibu ungeuchuna tu,.Angekuwa na taarifa za huko unadhani angepoteza muda kupost uzi!?
   
Loading...