Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

tofauti ni kuwa white or black kulingana na pc screan yako.
 
we usirudie tena, utakuja ua watu kwa mshtuko wa moyo!next time uweke tahadhari.
 
Shenzi kabisa!! Ungekuwa karibu lazima ningekukata kibao, k.u.m.a nina zako. Nusura uniue nyoko wewe!!
 
aaah, mambo gani haya tena!?? yaani umenipandisha pressure na kuniharibia kazi zangu. Ingekuwa ulaya wewe ungelipa fidia. Mod iondoeni hii isije ikaua watu bure.
 
Mlioifungua tudokezeeni inahusu nini ili tuamue kufungua au kuacha
 
jamani natamani kujua ni nini maana haijafunguk, pls tel u ni nini?
 
Back
Top Bottom