Naomba msamaha kwa wana-JF (Msema hovyo,Lukolo etc) hawa na Wengine

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
  1. Never give up
  2. mtoto wa mfugaj
  3. msani
  4. Chuma Chakavu
  5. Msema hovyo
  6. Lukolo
  7. Na wengine walioifungua link niliyoitoa

Nilianzisha thread ambayo imeonekana kua inashtua, especially kwa watu wenye matatizo ya mshtuko.. Sikufanya hivyo kwa makusudi.

Thread yenyewe ni hii hapa Click hapa

Naomba samahani, Sikumaanisha kuwaudhi na kuwashtua..
 
Moseley......Moseley........Moseley........kwa nini lakini hukutoa tahadhari.........?
 
Back
Top Bottom