Kufikisha Ujumbe kwa Waziri wa Elimu ya Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufikisha Ujumbe kwa Waziri wa Elimu ya Juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Moseley, Jul 13, 2011.

 1. Moseley

  Moseley Senior Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari?

  Nahtaji kufikisha ujumbe wangu kwa waziri wa elimu ya juu.. Je nifanyaje?? Na, hakuna uchakachuaji wowote wa ujumbe unapokua unasafiri kwenda kwake?? Maana wasiwasi wangu huenda ujumbe wangu usimfikie na badala yake ukakomea njiani..
   
Loading...